Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,479
Namwangalia Bashiru ally mhadhiri wa UDSM akihojiwa na Kassim Kaira wa BBC kutoa maoni yake kuhusu Marekani kuingilia kijeshi kuwapiga wanamgambo wa kiislam ISIS wa Iraq wanaowasilimisha wakristo na kuwalipisha kodo pamoja na kuwafukuzia jangwani kusikokuwa na maji.
yeye Bashiru amepinga hatua hiyo ya Marekani kuingilia kati akitoa sababu kuwa Marekani mbona haijaingilia maeneo mengine kwanini iwe tu Iraq.
Anaonekana wazi kabisa anasapoti wanamgambo wa kiislam kwa kile wanachokifanya Iraq kwa wakristo kuwalipisha kodi na kuwaua na kuwafukuzia jangwani.
Hivi kumbe hata kama ukisoma hadi uwe na PHD kama ulizaliwa na udini moyoni fikra zako haziwezi kubadilika?
Unajua hata hapa TZ kuna watu wanawasapoti kile kinachofanywa na wapiganaji wa kiislam Iraq?
Ajabu aisee.