Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

Manyanza

Platinum Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
21,980
Reaction score
57,743
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.

Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba 10, 2026, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, Denisi Mpelembwa baada ya Mwendesha Mashtaka Mwandamizi wa Serikali, Jonathan Chuwa, kuiambia mahakama Serikali haina nia ya kuendelea na mashtaka hayo.

UDOM JF.png
Chuwa ameiomba mahakama kumwachia huru Kaijage, akieleza uamuzi huo unahusu mashtaka ya ugaidi na uhujumu uchumi yaliyokuwa yakimkabili, ikiwa hana kosa jingine la jinai linalomkabili.

Hata hivyo, kabla ya mahakama kutoa uamuzi huo, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Dodoma (RCO) aliwasilisha maombi yaliyoambatanishwa na kiapo, akiiomba mahakama kumwekea Kaijage masharti ya mwenendo baada ya kuachiwa huru.

Masharti ya kuachiwa

Akisoma uamuzi baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mpelembwa amemtaka Kaijage kuwa na wadhamini wawili ambao ni wakazi wa Mkoa wa Dodoma.
Wadhamini hao wanatakiwa kuwa na barua za utambulisho kutoka mamlaka za Serikali zinazotambulika, kusaini dhamana ya maneno ya Sh5 milioni kila mmoja na kuwa na vitambulisho halali.

Aidha, mahakama imemtaka Kaijage kuripoti kwa RCO kila Ijumaa ya mwisho wa mwezi kwa kipindi cha mwaka mmoja, saa 2:30 asubuhi, bila kukosa.

Pia soma: Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga
 
Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru kwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, huku akipewa masharti kadhaa ya kutekeleza.

View attachment 3667767
Obheja wakili mwaminifu
 
Huyu shetani anayeongoza awamu hii hafai kabisa.
 
ok.🐒
 
Nani atalipa muda uliopotea? Nani atafidia gharama zilizotumia hadi leo? Nani atalipa athari zote?

Hii Nchi hizi sheria inatakiwa ziwekwe vizuri, haiwezekani mtu akupotezee muda na gharama kipuuzi tu.

Lissu aliwaambia wakifanya hvyo watalipa gharama, ndio maana wamemkazia kwasababu wanajua matokeo.

Anyways, Hongera kwake na hizo ndio gharama za kusema ukweli na kutoa mawazo yako kwenye utawala TAKATAKA.
 
Back
Top Bottom