mhadhiri melkisedeki kaijage

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Muhadhiri wa UDOM, Melkisedek Kaijage aachiwa huru, Apewa Masharti

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo. Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Heche: Kabudi na Kitila walijulikana kwa kupiga kelele vyuoni, Kaijage amekamatwa Wahadhiri wako kimya!

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche, amewajia juu wanataaluma na wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kwa kuendelea na masomo kama kawaida wakati mwenzao, Mhadhiri Melkisedeki Kaijage wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), akishikiliwa na vyombo vya dola kwa kutumia uhuru wake wa fikra. Heche amekosoa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mhadhiri wa Chuo Kikuu kupewa kesi ya ugaidi, Mgomo wa wafanyakazi UDOM wanukia

    Sakata la kisheria linalomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kaijage, limechukua sura mpya baada ya upande wa mashtaka kubadilisha mashtaka yake na kumfungulia rasmi kesi ya ugaidi. Hatua hiyo imezua taharuki na masikitiko makubwa miongoni mwa wanataaluma waliokuwa...
Back
Top Bottom