Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma imemwachia huru Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedek Kaijage, baada ya Serikali kueleza kuwa haina nia ya kuendelea na mashtaka yaliyokuwa yakimkabili, huku mahakama ikimwekea masharti ya mwenendo.
Kaijage ameachiwa huru leo, Alhamisi, Septemba...
Kesi inayomkabili Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Melkisedeki Kitunzi Kaijage, imeahirishwa tena katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Dodoma, huku mshtakiwa akiendelea kusota rumande akisubiri shauri lake kuendelea.
Wakili anayesimama upande wa mshtakiwa, Meshack Ngamando, amesema kesi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.