Mhadhiri Chuo Kikuu Dodoma ataka Yericko Nyerere apewe PhD mbili kupitia kitabu chake cha Ujasusi

Huyo mhadhiri bila shaka alisoma BAED in arts..bila shaka alikuwa ni lecturer mzuri wa Kiswahili..maana neno nyuga ndio nimelisikia leo
Aisee naungana nawe,huyo jamaa amebobea sana maana hata PhD mbili ni msamiati new kabisa,ktk elimu ya Tanzania. Hata Dr Shika Kid hana yaani.
 
claytonx
 
YERIKO NYERERE ANATAKIWA APEWE Dr. Of Letters vyuo vianzishi degree za hivyo ili apewe.
 
Huyo ndio Yericko Nyerere aliyeweza kuwaponyoka vikosi kadhaa vya wahalifu waliokuwa wakimfatilia kuanzia Kigamboni. Kinondoni, Mbezi kibaha hadi Chalinze, akawachomoka kwa mbinu za kikomandoo hadi akakimbilia Arusha mpakani mwa kenya na akarudi Tanga usiku mmoja wa manane.

Wahalifu wale walilenga kumnyang'anya pengine hata kumpoteza kabisa kutokana na kubeba kwake drafti ya Ushindi wa Uchaguzi 2015.

Viva Yericko.
 
 
Ila nyie watu mnachuki zakijinga sana
 
Ila nyie watu mnachuki zakijinga sana
How, chuki zipi? mtu anajiita msomi anasema PhD mbili kwa kakitabu tu; hata utaratibu wa hivyo haupo duniani. Tukatoa mifano ya scientific discoveries ambazo authors wake hawakupata PhD2!
 
How, chuki zipi? mtu anajiita msomi anasema PhD mbili kwa kakitabu tu; hata utaratibu wa hivyo haupo duniani. Tukatoa mifano ya scientific discoveries ambazo authors wake hawakupata PhD2!
hayo ni maoni yake wewe unasemaje? Mbona unapinga tu bila hoja?
 
hakuna muhadhiri mwenye jina hilo Dodoma Yericko kaolota muhuni mtaani ili ampigie debe kitabu chake

kusifiwa kwa yerko kumekutia jotoo—malice ni tabia ya kua unajisikia vibaya wakati ikiona zuri kwa mwenzako-afrika na siasa za jalala haitokua maisha -
 
hayo ni maoni yake wewe unasemaje? Mbona unapinga tu bila hoja?
Msomi na maoni hayo! Basi ODM ndio maana wanasema ni chuo cha KATA! Lakini nadhani wanamsingizia! hawezi sema hivyo AU alikuwa anatania tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…