Mhadhiri Bashir Ally (UDSM) Atafutiwe Jimbo!


Sio kila mtu Tanzania aingie kwenye siasa. Nadhani Bashiru ataitumikia vema Tanzania kwa kubaki Chuo Kikuu.
 

Hakuna kitu hapa kinachoweza mtete huyu jamaa zaidi ya kuonyesha uduni wa fikra, mapenzi yako ya kidini, kikanda.Ni kawaid aya watu km nyie Kuwa Stadards za chini sana ktk ila kitu ndio maana hamuwezi pata mtu wa kubadili jamii zenu.

Unapiga kelele za chaga kwa vile ndio reference yako ktk kila kitu ufanyacho..mtakimbia sana kivuli cha wachaga.Its funny hata dada zenu in privacy wanasema wanapenda wachaga kwa vile wengi ni responsible Men, hawaachi mbegu yao bila matunzo.Wanaume wengine huwa hawarudi nyuma , labda wasikie mtoto kawa maarufu.

Hate sis not culture, ila inaweza kuwa influencial ktk aspect za cuture fulani..mbona wanyakyusa, wahehe, wanyeramba, wanyaturu, wasukuma, wahaya, ..waislam etc wana trach nzuri tuu ya ukabila na udini?Hujaenda mahakamani,polis, makazini uone jinsi walivyo ktk hatua ya kutia huruma...?Nimewakuta wengi tuu wapo tayari ku risk maslahi ya nchi, au ya familia kwa ku risk kazi just because wanataka muokoa criminal wa kabila lao dhidi ya lingine esp wachaga.

Sikushangai kuwa such a low life creature kwani ubaduzi ndio unakusumbua kwa kiasi huwezi pima motive ya kila jambo kutokana na situion husika.

Mtaumia sana roho kwa vile kila mtu mnayefikiri mnaweza mlazimisha ktk jamii yetu ili mufikie malengo ya waislam wa Tanzania.Nani hajui kuwa kila sector mmeichafua kwa hii mikakati ya Ponda.Na Ponda ni kipima joto tuu, polisi wanacheza makida ili mwishowe Ponda aibuke shujaa, polisi wa moro mumtoe ili kuongeza mwislam tena.

BAshiru ni recruit wa Islamist wa kitengo cha Political science waliofany akazi ya kuwainua viongozi wa hovyo africa na asia kw amgongo wa ujamaa ,ili kuwahadaa wengine wasijue malengo makubwa ya waislam.Ndio maaan utalia sana hapa.

Kamuulize yeye mwenyewe km midahalo yote ya kwenye TV km alichoongea anaweza kirudia tena kuangalia.Mpe collection ya vipindi vya tV alivyoshiriki baada ya kumpa majadiliano ya mojawapo ya hizo hoja na watu makini km akina mnyika, Slaa, Lissu, Na wahdhiri wa vyuo zingine esp Mzumbe...halafu uone kama hakujina mjinga sana na asiye na weledi kw alolote zaidi ya marudio ya vipande vya enzi ya ujama.
 

nani kakuambia chaga anatishiwa?Kwa taarifa yako chaga wakiamua invest ktk real war , chance are you will never survive...Chaga wanaweza iba popote Africa kwa silaha na wakarudi salama home.

Chaga wanaweza anzisha biashara halali popote duniani na wakafanikiwa , na makabila km yenu wakawanunua wote hata kama waliwakuta mkiwa na mitaji mikuwa ya kifamilia.By the way wakiamua kuingia CDM CDM ingekuwa tofauti sana na mnavyoiona.Wachaga wanaweza ingia katikati ya ubaguzi wenu km shoeshiners na muda mrefu mkawa busy kujiuliza km its worth it kumbagua mangi au kukubali aondoke ktk jamii zenu.

Nashagaa sana serikali ya CCM haikuwahi fikiri jinsi gani ingewasambaza duniani hawa watu kwenda conquer the world kwa mitaji ya taifa.Leo serikali ingekuwa inaweza kusanya hela kwa hawa watu maarufu kwa harambee hapa nchini.

Pengine kasikilize midahalo na maoni yake ktk TV ktk siku za karibuni..kasikilize mchago wake kuhusu bomu la olasiti n alaichokisema tena wakati Obama alivyokuja.Pengine utalitendea haki hili jukwaa.

Tumechoka sana hivi move za miskitini ambazo mlibahatika zitumia kwa JK, mkaja wa Zitto, Salim Ahmed ,Salim, Asha Migiro, etc ..huwa mmetumia nguvu nyingi sana kulazimisha watu kumkubali..ila wameprove failures kila mahali.Sasa tumechoka hivi harakati....Tayari wenzio wameshaanza ku msogeza ponda, mlianza ubunge Ubungo, sasa Urais...makafara ya kuzimu this time around hakuna cha pete wala nini, nguvu ya kuzimu ndio kushney..ujinga utakutana na upinzani mkali sana kiroho na kifikra.
 
He is good in every aspect, tatizo ni jina lake.....

Oh teah..NIliposikiliza mani yake ktk kipindi cha makwaia baada ya Bomu la olasiti, na maoni ya tukio hilohilo baada ya kuja Obama.NIlimalizia kabisa ,hata fikra kisogo nilizokuwa nimeacha juu yake.Ni fanatic km haroub Othman tuu.Namjua huyu jamaa na nimewahi ongea naye Live ktk event kadhaa.. pamoja na kwamba hanijui hata akinikuta.hakuna kitu kwa hawa watu.Ni wa kuondoa na kitengo chao kichopotea km external radio....ni useless hawana mawazo mapya, wa la ubunifu wa kushape our future.Naogopa hata kusema atuandikie vitabu kwani vitageuka kuwa km vya Mohamed Said.

Km unadhani tatizo ni jina lake unaweza kuwa sahihi zaidi ya unavyotafsiri...hilo jina linaweza husian na ideology iliyompotosha kama Lipumba.Hata kwa Lipumba unaweza mtetea hivihivi ila matendo yake yanamkana sana.Usiogope sana, kwani usemacho ndicho unachomaanisha no matter what language you are using.Nadhani unakaribia tuambia shida ya failures wengi, ambao wamesoma vyema ila wamegeuka kuwa "Educated fools" ni ipi...Bado niansngaa kwanini kuna pattern fulani ya wabunge ambao wamefikia kuona ubunge wa upinzani hauna tahmani ya wa CCM.
 
the one thing i fall in love with myself is.........
nina uwezo mkubwa saaaana wa ku-kuprovoke. na hii inanidhihirishia jinsi usivyo na akili zaidi ya kuendeshwa kwa chuki za KIDINI,KIKABILA na KIITIKADI....
Tunajua kuwa wengi(CHAGAZ) ndivyo mlivyo and thats why mwisho wenu uleeeeeeeee,,,, nadhani hata wewe unauona.
welcome
 

haha....Fall in love with your self....unajitamani au unajipenda?Hata wanawake wengine hujitamani sana na kuona kuwa wangeweza wangejioa...wanaopiga punyeto pia hujitamani...na yote haiuhusiani na wao kuwa smart...au hicho unachotaka unganisha.

Sasa nini umeprovoke...naona umekuwa nabii wa obvious things...ni km ulijitabiria kuwa Fulani tapata njaa kesho..halafu akisikia njaa nabii mwehu anasema unaoan yametimia.

Nilichomjibu yule mwenzio hujakisoma, au umejisahau ID nyingine ukaitumia?Wals sioni km nilicojibu kinahusiana na Kidini, wala kikabila wala kiitikadi...nilihcomwambia aliyeanzisha kutaja ukabila,nilimwambia vita na wachaga ni vita hovyo, kwani serikali imepigana hadi imefikia hapa ilipo bila daliliza ushindi na wachaga ndio hivyo wapo well and alive...Mengi ni km Rais wa nchi asiye na majeshi na dola..Balozi wa nchi akija anareport Ikulu na Kwa Mwengi, wachag wapo visible kila mkoa na ktk kila sector nchini, na hawana muda wakupiga wengine vita.

Huo mwisho utauona sana ili upandishe mzuka kwa vitu visivyo fikika..hata wafuasi wa akina Osama , wengine waliokuwa wakishabikia ugaidi wa Afghanistan, pakistan ,walishaona karibu dunia inakuwa chini ya mikono yao na Osama alikuwa invincible na asiyeshikika..ila kilichofuata nadhani adabu imekuja
 

Mjadala huu wa Aug 2013 unaweza kuhitimishwa kwa Dr. Bashiru kuwa Katibu Mkuu wa CCM. Inshallah Mungu amfanyie njia.
 
Hongera kwa kuchaguliwa ukatibu mkuu Ndugu Bashiru.
 
Ni mda umeenda lkn nimekusoma vizuri
 
Ni mda umeenda lkn nimekusoma vizuri
 
Ukisoma comments za enzi hizo ktk hii mada na uchangiaji wa mada ktk kipindi hiki ...kweli yajayo yanasikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…