Mh!

Mh!

iwe mwisho la 2?!
Au iwe hamna kusoma kabisa?!

Mbona ndege wanakula? Na sisi ni bora kuliko hao?
 
iwe mwisho la 2?!
Au iwe hamna kusoma kabisa?!

Mbona ndege wanakula? Na sisi ni bora kuliko hao?

HAKIKA nashawishika nithubutu kusema tangu 2012 mwaka kuanza leo ndiyo umeongea Pweint ! Nimeipenda " Mbona Ndege (wanyama) wanakula , wanalala, wanaimba na msamiati wa neno SHULE hawana ? Sijui hadi lini tena utaangusha jipwent jingine.
 
nafikiri tusome ila mitihani isiwepo yaaani tunasonga as long unamzuka....
 
Kwani lazima usome?
Ukifika unapoona umetosheka unaishia hapo.
 
ndege ana maisha yake na mwanadamu ana maisha yake, kuna ndege wengine wamesoma wana akili balaa
 
Back
Top Bottom