assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,909
- 4,057
- Thread starter
-
- #21
Acha kumdhalilisha Martin luther king... Nenda katafakari kwanza ndiyo uje hapa jf
. MARTIN LUTHER KING UNAMJUA AMA UMEHADITHIWA? Kajipange...
Kumlinganisha Martin Luther na Zitto ni matusi na dharau kubwa kabisa kwa Martin Luther!
yeye ni naibu katibu mkuu kuna fungu, yeye ni naibu kiongoz kambi ya upinzan, yy ni mwenyekiti PAC, YY NI MBUNGE WEWE JE???????? ACHA WIVU DOGOKwani yeye anabihashara ipi inamuingizia hela mpaka utajiri kama si wizi wa mali za umma yaani mali yangu na wewe. Ila watanzania huwa hamjambo kwa kuwatetea wezi kisa kwenye kampeni ulipewa wali au kangha. Bado tuna njia ndefu kuelekea kwenye kutoka kama tunaona tuna wivu kwa kuwaweka wazi wahujumu uchumi wetu.
yani inahitaji kwenda shule ili ujue mh zito anabaguliwA KASOME RIPOTI YA SIRI UTAONA DK SLAA KAGONGA LIKE ALAFU ANSEMA ZITO NI KIONGOZI WETU HY NI CONSPIRACY THEORY
kamuulize dk kama ni kweli au c kweli that is factuna uhakika huo? Ndio maana nape nnauye anataka chadema kifutwe sababu ya kutofanya uchaguzi?
Leo nimemsikia DW mchana anajikanyanga na FEDHA za uswis. huyu jamaa ni mnafiki kupindukia. Kipindi kile walipomuingiza kwenye kamati ya madi alitaka hata kuwasaliti watu wa kigoma na kwenda kugombea ubunge jimbo la Geita ili aendelee kuwalinda mafisadi wa madini vizuri ndo huyo unamfananisha martin kichekeso.
Martin hakuwahi kujilimbikizia mali kisa anafanya kazi za jamii haka kajamaa nasikia kanamiliki gali la mamilioni ya shillingi kantumia hilo kwenda kuwatetea watanzania ambao hata baiskeli ya miti kwao ni tatizo. Upuuzi.
Ukwli ni kwamba Tanzania hatuna mwanasiasa hata mmoja ambaye ni Mzalendo wote wachumia tumbo. Tokea huyo jamaa alipokuja na ngonjera zake hizo za uswis siku hizi naye kawa John Mtembezi. Kodi yetu hiyo
Kuweni makini na haya mambo
acha matusi kumbuka kila goti litapigwa na kila neno litahesabiwa
wewe kipi ulichofanya cha maana katika jamii>? si bora yeye amefanya hata hayo machache? goo goo zzk wewe ni Martin wa bongo
kamuulize dk kama ni kweli au c kweli that is fact
acha kuishi kwa hisia hisia kama uko kitandani mda wote na mwanamke. msaliti msaliti, kamsaliti nani? kama kapewa hela ni kodi yetu amechukua ulitaka mafisadi tu ndio waiile?Ana tofauti gani na mr dhaifu? wote watalii tu.MARTIN LUTHER ALIKUWA MTU MWENYE MSIMAMO USIOTILIWA SHAKA HUWEZI KUMLINGANISHA NA HUYU WAKO UNAYEMPAMBA KIUDWANZI DWANZI,unadhani kwa huu weehu wako unamsaidia huyo msaliti?
mkuu kubali kusahihishwa.What ever, Mtu mwenye Taahira ya akili anaweza kufanya such a Comparison.
BTW, wewe ni Mke wa Zitto, Maana huachi kumsifia na kumtaja kila siku kila wakati
ukisoma historia utaliona jina moja Martin luther king ALIAMINI katika yafuatayo katika muktadha wa TANZANIA
kuwa na haki sawa baina ya watanzania wote either uwe unatoka kaskazini mwa nchi au kusini au kule kigoma
mtu asipewe heshima au asivunjiwe heshima kutokana na kabila lake hata kama wewe mchaga au wewe ni muha mpewe haki sawa
mtu asibaguliwe kwa sababu ya dini yake au kwakuwa dini yake si sawa na yako hivyo unambagua
vilevile msimbague mtu kwakuwa anamawazo tofauti na wewe hiyo ni haki yake
KWANN MH ZITO
1.ANAFANANA na MARTIN LUTHER KING kwani anapigania maslahi ya watanzania wote bila kujali ukanda,udini,ukabila,na kila aina ya ubaguzi.
2. MARTIN LUTHER alikuwa na dream kuwa hata mmarekani mweusi aweza kuwa raisi au kuwa mwenyekiti wa republican au democrats kwan kinachoangaliwa ni uwezo na si mtu na ndoto zake zilifanikiwa kuwa kweli pale OBAMA ALIPOKUA RAIS MWEUSI AMERIKA
3. NAAMINI kuwa MH ZITO ANADREAM ZA MARTIN LUTHER KING INGAWA KAMA WAMAREKANI WEUPE KWAKUWA WALIKUA WABAGUZI HAWAKUAMINI ILA WAMAREKANI WEUSI WALIAMINI HIYO NI KWELI NA DREAM IKAWA KWELI
MY TAKE
KAMA WAMAREKANI WEUPE KWA SABABU YA UBAGUZI WAO WALIAMINI MTU MWEUSI HAWEZI KUWA KIONGOZI SAME APPLY KUWA MH ZITO KWA KUWA HATOKI UKANDA FULANI HAWEZI KUFIKIA HIS DREAM LAKINI SHIKA HILI MH ZITO NA MARTIN LUTHER IDEAS RESEMBLE MSICHANGAE JIWE MLILOLIKATA LIKAWA NDIO JIWE KUU LA PEMBENI