Mh Zitto Kabwe- Kuelekea 2015

Huyu jamaa anafaa kuwa rais wa nchi hii lakini tatizo ni dini yake tu. Sijui kama atapewa maana watu wa dini yake hawatakiwi kushika huo wadhifa na wakiushika moto wake si mchezo. Hupigwa vita kila kona.

Mkuu mm ni mrksto tena mulokole!! Zitto yuko juu sana kiakili , kimsimamo na kufanya mikakati! I know the guy na kama CDM inataka goli basi imtumie huyu jamaa, kinyume na hapo itakuwa blah blah lakini hatufiki tamati ya maneno
 
 
Dini yake ina matatizo gani? tunaomba utueleweshe. Wengine hatujafunzwa kuangalia mtu kupitia dini yake. mtu wa dini tofauti na yangu ni potential sana kama Sauli = Paulo.



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…