M mzighani Senior Member Apr 11, 2011 109 9 Nov 28, 2013 #2 kazi ni kazi, na asiyefanya kazi na asile
miss chagga JF-Expert Member Jun 7, 2013 57,821 48,975 Nov 28, 2013 #3 Uwii!!!!!!!!! Akitoka hapo nusu ya pesa kwa demu ..... Duh kazi kweli kweli..
Gorgeousmimi JF-Expert Member Jun 21, 2010 9,296 7,666 Nov 28, 2013 #5 Angevaa japo gloves au mfuko....kantia kichefchef!!
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 28, 2013 Thread starter #6 Patrickn said: Anatafuta nin huko...au anazibua Click to expand... Mdau yupo kazini hapo anawajibika ili watoto wake wapate mkate wa kila siku.
Patrickn said: Anatafuta nin huko...au anazibua Click to expand... Mdau yupo kazini hapo anawajibika ili watoto wake wapate mkate wa kila siku.
Vitaimana JF-Expert Member Nov 2, 2013 3,535 1,553 Nov 28, 2013 #7 Kaka zetu mnatafutaga pesa kwa shida saana wengine wananusurika kufa lakini mkituona tu mnasahau! Mnahonga au matumizi yasiyo na maana. Jihurumieni
Kaka zetu mnatafutaga pesa kwa shida saana wengine wananusurika kufa lakini mkituona tu mnasahau! Mnahonga au matumizi yasiyo na maana. Jihurumieni
chopeko JF-Expert Member Apr 23, 2012 1,528 1,107 Nov 28, 2013 #8 Ndibalema said: Mdau yupo kazini hapo anawajibika ili watoto wake wapate mkate wa kila siku. Click to expand... Boss wake lazima anamuona jamaa ana bad attitude
Ndibalema said: Mdau yupo kazini hapo anawajibika ili watoto wake wapate mkate wa kila siku. Click to expand... Boss wake lazima anamuona jamaa ana bad attitude
Ndibalema JF-Expert Member Apr 26, 2008 10,956 4,648 Nov 28, 2013 Thread starter #10 chopeko said: Boss wake lazima anamuona jamaa ana bad attitude Click to expand... Ahaha! mkuu hiyo avatar yako ni wewe huyo?
chopeko said: Boss wake lazima anamuona jamaa ana bad attitude Click to expand... Ahaha! mkuu hiyo avatar yako ni wewe huyo?
Paloma JF-Expert Member Jan 22, 2008 5,332 4,951 Nov 28, 2013 #12 Chachu Ombara hiki nini jamani uuuuwi!!! Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
sister JF-Expert Member Nov 23, 2011 9,014 6,846 Nov 28, 2013 #13 dah huyu jamaa hajionei huruma....angetafuta hata kitu cha kuziba mikono....
Kozo Okamoto JF-Expert Member Oct 14, 2013 3,391 1,541 Nov 28, 2013 #14 Ndibalema said: Click to expand... matatizo ya kula ugali njugu mawe hayo,ona sasa kimeziba
kadakokigondile JF-Expert Member May 17, 2013 1,872 634 Nov 28, 2013 #15 Patrickn said: Anatafuta nin huko...au anazibua Click to expand... Anatafuta kambale amebana kwenye kona
Patrickn said: Anatafuta nin huko...au anazibua Click to expand... Anatafuta kambale amebana kwenye kona
peri JF-Expert Member Mar 22, 2011 2,579 1,164 Nov 28, 2013 #16 anasafisha choo ili na yeye wanawe waweze kupata choo.
Mwendabure JF-Expert Member Mar 10, 2011 2,138 1,040 Nov 28, 2013 #17 safi kabisa...! kazi ni kazi, mradi isiwe adhabu!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 29, 2013 #18 Mbona hujatoa hadhari.......aaaaaaaaaagahhhhhhhhhhhhhhh
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,146 13,216 Nov 29, 2013 #19 naona vitu virefuvirefu kama kete................au ndio walewale?
sekulu JF-Expert Member Jan 17, 2011 988 157 Nov 29, 2013 #20 mimi49 said: Angevaa japo gloves au mfuko....kantia kichefchef!! Click to expand... Tapika tu