Bribe Definition
dictionary.search.yahoo.com
n. noun
- Something, such as money or a favor, offered or given to a person in a position of trust to influence that person's views or conduct.
- Something serving to influence or persuade.
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.
Mh,WENJE kauli zako zinaudhi

Mhh, unamgombelezea babako?
Kumbe baba yako ni miongoni mwa wanaoloitia taifa hili hasara?? Tena Wenje katumia lugha laini sana maana mie wote nimewaona vilaza watupu!!
Kwako muheshimiwa Wenje tafadhali niombe radhi.
Nimekusikia jana ukieleza bungeni kwamba wale wajumbe 201 wa bunge maalum la katiba wamepewa rushwa ya chakula na vinywaji.
Baba yangu nae miongoni mwao. Kweli baba yangu mzazi kabisa adanganyike na kitu kidogo kama chakula?
Kwangu hili tusi kwa mzazi wangu.
Mh,WENJE kauli zako zinaudhi
Baba yangu namtambua vyema ni miongoni mwa wazalendo wachache waliobaki ktk nchi hii.
Siamini kama chukula chaweza kumfanya abadili misimamo yake.