Mh. Waziri mradi wa miwa Tarime una matatizo, wamekudanganya

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,556
Jana nikiwa kwenye TV nilicheka kuina Mh. Waziri akisifia uwekezaji wa miwa wa mwekezaji toka Uganda

Bahati mbaya ama nzuri hajapata kufika sehemu husika na kujua kinachoendelea

Jana tulielezea jinsi baadhi ya viongozi wanavyomkatisha tamaa mh rais na malengo yake kwa tamaa zao.

Mh. Waziri kuna shida kubwa tu.. Baada ya kuandikwa bajeti na kutolewa hela za kazi

Baadhi ya wasiowaaminifu waliweza wapa wafanyakzi wanaokwenda kupima pesa za siku kumi...

Baada ya mda shetani amewaangia wameanza kupunguza idadi za watu na cha ajabu hao watu wako kwenye bajeti.

Kazi imeshindwa kuendelea tena wachache ndio wanaendelea... Inahuzunisha hatwatu tunaowaona hapa awana raha kabisa na upuuzi unaoendelea....

Mh. waziri ni vyema ukatuma mtu akaja kuhakiki vituko vinavyoendelea.... Baada ya pesa kutoka watu wamelipwa siku kumi nabwanatakiwa kufanya siku theleathini

Zaidi ya vijana 20 wameondolewa na walikuwa wapiga kazi wazuri.. Sio hivyo haohaoo waliokulisha kazi inaendelea vizuri.. Mh waziri watu wamegoma awajalipwa pesa zao

Mbaya hata hao waliobaki bado uongozi unataka kuwashinikiza... Hizo siku 20 zilizobakia walipwe nusu...

Swali je kwanini pesa zimetoka yanatokea haya?? Kwanini awakupunguza watu kwenye bajeti

Kuhusu hela viongozi husika wamekuwa wakitumia mbinu chafu kabisa kuwazazalisha watu waliosomea ujuzi wao

Yapo mengi yanaendelea tumeandika waraka mzito kuhusu uwekezaju huu kuanzia mwanzo mpaka waluoifikia bajeti na idadi ya watu.

Mh. Waziri tukujuze tu ufwatiliaji wa ubadhirifu unaoendelea hutumika kuwaadhibu watu kwa kuwahamisha mikoa mingine.. Kwakuwa haya mambo yako wazi tunakuhakikishia kabisa watanzania wanataka wawekezaji ila awataki kuzaluljshwa kwa ajli ya pesa.

Jambo ambali utalikuta kwenye waraka tutakaokupatia n pamoja na vituko wakati wa kupokea pesa
 
Back
Top Bottom