SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,753
hongera zake mhe. kwa kweli amejitahid mno mpaka hapo alipofikia. bado PhD tu
Habari Wanabodi,
Nilikuwa napitia CV ya Mh. Vicky Kamata,mbunge wa viti maalumu kwakweli ina-encourage watu sana.Ningependa atupe somo sie makanjanja tufike alipofika yeye.Maana na mie nina ka-certificate kangu ka Upendo Vocation Training Center ya Computer.Au kama kuna mtu anaweza akatufafanulia mchakato wa certificate ya vyuo vya mtaani mpaka kupata masters ukoje?
View attachment 231798
hongera zake mhe. kwa kweli amejitahid mno mpaka hapo alipofikia. bado PhD tu
tunakushuru kwa pongezi zako , lakini je amefikaje hapo ? hebu wajulishe na wengine watumie hiyo mbinu .hongera zake mhe. kwa kweli amejitahid mno mpaka hapo alipofikia. bado PhD tu
Naomba Kujulishwa Kama Siyo Kufahamishwa Kiutaalamu Hivi Kuna Uwiano Gani Wa Kuanzia Hapo Mwaka 1983 Hadi Mwaka 1999 Na Yeye Kuwa Na Masters Degree? Binafsi Naona Maluweluwe Matupu!