Mh!Unabahati hata mume wangu sijawahi mpa hivyo

Mh!Unabahati hata mume wangu sijawahi mpa hivyo

Hiyo OUTBOX bado haijaenda labda vocha ilikata au mtandao ulisumbua,bonyeza OPTION halafu select EDIT then kwenye hiyo text andika na location unayotaka kumkamata mwizi wako yeye ndiye atakayekuambia alipewa nini cha ziada na mkeo ili ujue cha kudai,kisha bonyeza SEND halafu kaiangalie SENT ITEMS utaikuta.
 
Wewe unacheza na sanaa za wanawake wewe anakwambia hivyo kumbe wewe ni wa mia
kusema maneno hayo hayo chezea watoto wa mujini wewe
 
Hii stori ilitakiwa kuchekesha au?
Sijaelewa kitu...
 
Mwambie na mi leo naomba kuwa mwenye bahati honey....japo ningependa kuwa wa kwanza ila hata wa pili si mbaya.....!

God Forbid....inauma aisee!
 
Wewe ni kijana mwenye kazi nzuri sana.Unaishi na Mkeo ambapo mungu amewajaalia kupata mtt mmoja wa kike.Siku za hivi karibuni mlitembelewa na jamaa mmoja ambaye mkeo alimtambulisha kwako kama kaka yake yaani mtt wa shangazi yake aliyekuwa masomoni.Ukampokea vzr sana,mkabdilishana hadi namba ya simu siku mbili baada ya jamaa kuondoka ya huyo jamaa ukahisi kama mkeo anatoka nje ya ndoa lakini ukawa hujui ni nani.Siku ukaamua kuikagua simu yake na kuanza kusoma msg ambapo ulishanga kukuta msg zifatazo;
Inbox:Yaani mpenzi wewe ni mkali sana,unaju jana ulinipagawisha hadi sasa sina hamu kabisa,siyo siri unayaweza
Outbox:Kweli?Mh!Basi unabahati sana,hata mume wangu sijahi kumpa hivyo,na kesho tena,Mx

huu upuuzi uko kwenye magazeti ya Shigongo,
afu unakuta watu na akili zao wanapoteza pesa kutuma SMS.
Aaaagh! Hapa ni kwa ma-GT baana!
 
huu upuuzi uko kwenye magazeti ya Shigongo,
afu unakuta watu na akili zao wanapoteza pesa kutuma SMS.
Aaaagh! Hapa ni kwa ma-GT baana!
Hivi wote tungevipenda unavyovipenda wewe si ingekuwa tabu sana..! KUNA WAKATI LAZIMA TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA...
 
Hivi wote tungevipenda unavyovipenda wewe si ingekuwa tabu sana..! KUNA WAKATI LAZIMA TUKUBALIANE KUTOKUKUBALIANA...

dah?
Hata kama mkuu, mi nadhani JF ina hadhi yake, lakini si maandishi ya kabila hii.
 
Back
Top Bottom