Mh.UHURU KENYATTA kuwa Makini SANA!

300px-M16a1m16a2m4m16a45wi.jpg

Four Gen of Colt M16s hizi mashine shababu hawana kwa hiyo hawa vijana wako kuwabebesha MaG3 wakati hata Shababu wanazo watanunua risasi kutoka kwa majeshi walafi.
 
Sasa mbona aliachwa akipiga mitaa tu mpaka siku ya kumuapisha BABA.

Ndio ujue siasa ni noma.

Kwa kifupi ukichokonoa utawala, hakikisha huna madudu, maana wakianza kukufuata, hutapona.
Vipi hoteli za Mbowe, zipo au mlizipiga chini.
Halafu nakumbuka nilisoma sehemu huyo Mbowe mlimsweka ndani, hivi aliachiwa au bado ananyea debe, nawaza hapa mtu kama Raila ahangaishwe wanavyovurugwa akina Mbowe na Lissu aise hii nchi haiwezi kalika.
 
raila alibanwa makende,na nasikia wamemuhasi,au huna taarifa hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Hii mibunduki imepitwa na waka

Sisi tutalumbana tutafungana lakini kuchinjana na katoana makoromero ati kwa sababu mimi ni mjaluo wewe ni mkamba Never!kumbuka tukishaichoma nchi hii tukimbilie wapi Kenya?!mtufanye manamba Never sisi tukiliona jambo lilee linakuja tunaaacha tofauti zetu,Kenya mimi naipenda Sana sana ila tuko tofauti.
 
Avatar yako ni ya Mtanzania aliyeletwa kwetu hapa kama amelishwa risasi 38..... Naskia bado anachokonoa, anataka kgombea urais 2020.....hehehe yaani anaota kumtoa Jiwe kwenye uongozi eti amfanye Jiwe kuwa rais wa kwanza kutolewa kwenye uongozi Tanzania.
Hapo kwenu upinzani mtasubiri sana, tena raundi hii ndio balaa bora hata kwenye awamu za awali, Jiwe sio mtu wa kujaribiwa, yaani huyo mzee huwa namtazama hata akihutubia, huwa personal sana, nakumbuka siku fulani akishangaa vya Zanzibar eti mtu agome kumpa mkono halafu bado anamtilia saini...hadi akapiga mayowe ya kivita...nilicheka sana....thubutu
 
raila alibanwa makende,na nasikia wamemuhasi,au huna taarifa hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo ya 'unaskia' hayana mashiko humu, mke wake ndiye anayeweza kutuambia kama kweli ana kende au la, halafu kumbuka Raila enzi hizo alipitia hayo wakati Wakenya tulikua tunalipia gharama ya kuondokana na utawala kama huo wa kwenu wa leo, ndio maana leo hii hauwezi kumfunga Raila kama mnavyofanya viongozi wenu wa upinzani.
 
Avatar yako ni ya Mtanzania aliyeletwa kwetu hapa kama amelishwa risasi 38..... Naskia bado anachokonoa, anataka kgombea urais 2020.....hehehe yaani anaota kumtoa Jiwe kwenye uongozi eti amfanye Jiwe kuwa rais wa kwanza kutolewa kwenye uongozi Tanzania.
Hapo kwenu upinzani mtasubiri sana, tena raundi hii ndio balaa bora hata kwenye awamu za awali, Jiwe sio mtu wa kujaribiwa, yaani huyo mzee huwa namtazama hata akihutubia, huwa personal sana, nakumbuka siku fulani akishangaa vya Zanzibar eti mtu agome kumpa mkono halafu bado anamtilia saini...hadi akapiga mayowe ya kivita...nilicheka sana....thubutu
Atatoka tu hata kama sio 2020.
 
Atatoka tu hata kama sio 2020.

Labda baadaye sana, ila kama hamkuyumbisha CCM 2015, sidhani kama ipo siku, maana kwa kweli 2015 mlishambulia kama kimbunga, mlikua na mawaziri wakuu wa zamani, tena watu wa kusikika kama Lowassa ambao wanaujua mfumo wote wa CCM ndani na nje.
Kwa sasa mtu mmoja Zitto Kabwe ndiye amebaki anabweka, japo anazushiwa uraia, Mbowe kapigishwa kimya jela, Lowassa huwa namuona anajongea jongea ikulu wanapiga stori na mkulu, juzi hata alitumwa salamu za Mbowe.
Upinzani wamepoteana yaani wanatafuta pa kushikilia kiasi kwamba chochote kikiibuka wanajaribu kutoka nacho, juzi CAG wenu alijaribu kuwapa pakutokea, ila naona naye amekalishwa chini, yupo tayari kumsujudu Ndugai.

Japo siwezi kuwacheka maana hata upinzani kwetu ni kama umefutika, hata sijui nani ndiye nani au anasema nini. Ni wazi na lisilopingika kwamba Ruto ataongoza nchi kuanzia 2022.
 
Hii mibunduki imepitwa na waka

Sisi tutalumbana tutafungana lakini kuchinjana na katoana makoromero ati kwa sababu mimi ni mjaluo wewe ni mkamba Never!kumbuka tukishaichoma nchi hii tukimbilie wapi Kenya?!mtufanye manamba Never sisi tukiliona jambo lilee linakuja tunaaacha tofauti zetu,Kenya mimi naipenda Sana sana ila tuko tofauti.
Mpuuzi wewe, hawa wanaouawa kwenye viroba sio watanzania. Mbwa wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda baadaye sana, ila kama hamkuyumbisha CCM 2015, sidhani kama ipo siku, maana kwa kweli 2015 mlishambulia kama kimbunga, mlikua na mawaziri wakuu wa zamani, tena watu wa kusikika kama Lowassa ambao wanaujua mfumo wote wa CCM ndani na nje.
Kwa sasa mtu mmoja Zitto Kabwe ndiye amebaki anabweka, japo anazushiwa uraia, Mbowe kapigishwa kimya jela, Lowassa huwa namuona anajongea jongea ikulu wanapiga stori na mkulu, juzi hata alitumwa salamu za Mbowe.
Upinzani wamepoteana yaani wanatafuta pa kushikilia kiasi kwamba chochote kikiibuka wanajaribu kutoka nacho, juzi CAG wenu alijaribu kuwapa pakutokea, ila naona naye amekalishwa chini, yupo tayari kumsujudu Ndugai.

Japo siwezi kuwacheka maana hata upinzani kwetu ni kama umefutika, hata sijui nani ndiye nani au anasema nini. Ni wazi na lisilopingika kwamba Ruto ataongoza nchi kuanzia 2022.
Mkuu, wewe ni ofisa usalama wa Taifa wa Kenya? Taarifa zote za Tz unazo!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehehe utandawazi umeifanya dunia imekua kijiji, kuna wakati huwa napitia pitia jukwaa la siasa zenu humu JF.
Nenda jukwaa la kimataifa ukute tunajadili siasa za kwa Trump hata kuwazidi Wamarekani wenyewe.
Wewe ni Mbongo pori.hicho Kiswazi!
 
Back
Top Bottom