Mh Tupatupa Kupata Kunamungu... kama si leo kesho.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,262
Maskini huyu tupa tupa ambaye amekuwa na bahati ya kupata na neema ya kupoteza. Huyu ambaye anaweza jenga kwa mbwembwe na kubomoa kwa mikogo.

Tupatupa huwa hapiwi mapato na matumizi... Anaweza tumia pesa nyingi juliko mshahara wake hivyo akalazimika kukopa na kulipa kwa faida. Kibaya pesa atakayokopa utakuta hajaipangia matumzi. Anatupa tupa akiamini atapata tu as long mungu wake yupo.

Tupa tupa akipata pesa kidogo atatangaza hata kutaka kuwakopesha mabosi zake kwa mbwembwe kabisa huku akitoa macho na mashavu kumcheza cheza atafoka kuwakemea maskini kisa ana pesa za mkopo.
 
Gudume sasa umeanza lini utani na malaika mkuu???
 
magu au?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…