iJamii JF-Expert Member Jan 19, 2015 1,960 1,502 May 4, 2017 #1 Dah! kweli tunaisoma namba. Hadi kumbikumbi wamegoma kutoka kipind hiki watu wapate mboga
majoto JF-Expert Member Jul 19, 2013 2,572 4,735 May 4, 2017 #2 Ebwana eeeee Hakuna na kumbikumbi wala senene. Mbu tu wameongezeka!
iJamii JF-Expert Member Jan 19, 2015 1,960 1,502 May 4, 2017 Thread starter #3 majoto said: Ebwana eeeee Hakuna na kumbikumbi wala senene. Mbu tu wameongezeka! Click to expand... Hii hali mtu anaweza kufikiri masihara ila hali mbaya sana hakuna pa kuponea aiseeh
majoto said: Ebwana eeeee Hakuna na kumbikumbi wala senene. Mbu tu wameongezeka! Click to expand... Hii hali mtu anaweza kufikiri masihara ila hali mbaya sana hakuna pa kuponea aiseeh
majoto JF-Expert Member Jul 19, 2013 2,572 4,735 May 4, 2017 #4 watu tunajikaza tu kidume dume, kitaeleweka tu
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,651 71,005 May 4, 2017 #5 sasa kumbikumbi na rais wapi na wapi