Mr.Professional JF-Expert Member Joined Oct 4, 2010 Posts 1,582 Reaction score 258 Mar 19, 2011 #41 Duh ofisi ya mbunge mbovu kma ya mwenyekiti wa mtaa tofauti ni kuwa inasimu mbili na laptop
B bia JF-Expert Member Joined Feb 9, 2011 Posts 257 Reaction score 31 Mar 19, 2011 #42 hata mie cjafurah ful mr sugu kua kwenye ofisi ya namna hii au kuna namna imefanyika kumwaribia mazingra ya ofis yake!
hata mie cjafurah ful mr sugu kua kwenye ofisi ya namna hii au kuna namna imefanyika kumwaribia mazingra ya ofis yake!
Emanuel Makofia JF-Expert Member Joined Jan 5, 2010 Posts 3,832 Reaction score 637 Mar 19, 2011 #43 Ngoja nimuulize Mkoloni
Butola JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 2,290 Reaction score 765 Mar 19, 2011 #44 Kivumah said: Mh SUGU akifanya kazi ofisini kwake Click to expand... Naona Mheshimiwa anaperuzi kwenye Jukwaa la Maria Roza.
Kivumah said: Mh SUGU akifanya kazi ofisini kwake Click to expand... Naona Mheshimiwa anaperuzi kwenye Jukwaa la Maria Roza.
V Vas P Member Joined Mar 17, 2011 Posts 20 Reaction score 4 Mar 19, 2011 #45 kikubwa anafanya kazi za watu?ila sometime mtu anayeenda kupata huduma ofisi yoyote akiona mazingira mazuri ya ofisi anakua na imani na huduma atakayopata.so Sugu weka ofic fresh mkubwa...
kikubwa anafanya kazi za watu?ila sometime mtu anayeenda kupata huduma ofisi yoyote akiona mazingira mazuri ya ofisi anakua na imani na huduma atakayopata.so Sugu weka ofic fresh mkubwa...