Mh. Spika Jitahidi Kuheshimu Wabunge wa CHADEMA

Heshima Kwenu,
Nimefuatilia Bunge kwa siku za karibuni na hasa Bunge la Bajeti na kugundua kuwa Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai anafanya bidii sana kuhakikisha ana-undermine hoja zonazotolewa na Opposition hasa na wabunge wa CHADEMA.
Wakati akichangia mjadala leo mbunge wa Kilombero Mh. Peter Lijualikali alisisitiza kuwa wote waliohusika na mikataba mibovu wasionewe haya iwe ni Mh. Chenge mbunge wa Bariadi na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa kuingia mikataba na marais waliokuwepo wakati huo(wa awamu ya tatu na nne). Baada ya kauli hiyo Mh. spika alitoa kauli za kejeli akionekana kupinga kwa kudai Mh. Lijualikali awe mwangalifu kwa kutaja marais wastaafu kwani hata upande wa pili kuna mawaziri wakuu wastaafu. Aliendelea kudai kuwa Mh. Lijualikali hana uzoefu ndio maana anaongea alivyoongea.
Kwa mtu mwenye dhamana ya spika, maneno ya Mh. Ndugai ni
maneno ya kibaguzi tena ya kejeli. Hayafai kutamkwa na Spika wa Bunge. Kabla ya hapo alikejeli pia kauli za wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao kadhaa vya bunge Mh. Halima Mdee na mwenzake Mh. Ester Bulaya kuwa watakwenda mahakamani.
Ni kawaida kwa Mh. Spika na Naibu wake pamoja na wabunge wa CCM kutenda kama mawakala wa serikali kwa kujibu au kukosoa michango ya wabunge wa upinzani. Kuendelea kuwa na spika wa aina ya Mh. Ndlugai ni hatari kwa afya ya Bunge.Ikumbukwe pia kuwa Spika aliamuru Mbunge wa Kibamba Mh. Mnyika atolewe nje kama kibaka kisa kuomba mwongozo wa Spika kuhusu yeye kuitwa mwizi na Mh. Kibajaji. Inasikitisha sana kuwa spika anabagua wabunge anaowaongoza, kupendelea wa CCM na kupuuza wa upinzani hata kama wana hoja. Mwaka 2007 Mh. Zito Kabwe wakati huo akiwa CHADEMA alifukuzwa bungeni ikisemekana amelidanganya bunge alipodai kuwa Mh. Karamagi, Waziri wa Nishati na Madini wakati huo amesaini mkataba akiwa hotelini London, Uingereza. Ilikuja kubainika kuwa Mh. Zito alisema ukweli. Mambo waliyoyatetea wabunge wa CCM wakati huo pamoja na spika wao, ndiyo anayohangaika nayo Mh. Magufuli wakati huu, mikataba ya kijinga kwa sababu ya ushabiki wa kijinga wenye maumivu kwa nchi.
IMG_20170613_235955_924.jpg
 
Ndugai ni jinga..
Hapaswi kupewa heshima hata na kuku..
Huyu anakwenda kuanguka kisiasa muda si mrefu.
 
Mh.Ndugai hicho kiti umepewa na MUNGU ili utende haki kwa kuishauri serikali ili itatua matatizo ya wanyonge maskini, wala hukuteuliwa na MUNGU ili uitetee serikali hilo sio lengo la MUNGU kukuweka hapo.ok itazame nafsi yako halafu mtazame MUNGU utajitambua Mungu akusamehe sana
 
Namuona spika kama msemaji wa serikali bungen na si msimamiz wa bunge.
Hoja ya uzoefu ni hoja ya kitoto sana, kuwepo bungen kwa mara ya kwanza akuzuii wabunge wasiseme

Kila mtu atimize jukumu lake, tunawashutumu mawaziri itabdi na maspika nao wachunguzwe ktk kuptsha sheria mbovu zlzotokea hapa nchi
 
Heshima Kwenu,
Nimefuatilia Bunge kwa siku za karibuni na hasa Bunge la Bajeti na kugundua kuwa Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai anafanya bidii sana kuhakikisha ana-undermine hoja zonazotolewa na Opposition hasa na wabunge wa CHADEMA.
Wakati akichangia mjadala leo mbunge wa Kilombero Mh. Peter Lijualikali alisisitiza kuwa wote waliohusika na mikataba mibovu wasionewe haya iwe ni Mh. Chenge mbunge wa Bariadi na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa kuingia mikataba na marais waliokuwepo wakati huo(wa awamu ya tatu na nne). Baada ya kauli hiyo Mh. spika alitoa kauli za kejeli akionekana kupinga kwa kudai Mh. Lijualikali awe mwangalifu kwa kutaja marais wastaafu kwani hata upande wa pili kuna mawaziri wakuu wastaafu. Aliendelea kudai kuwa Mh. Lijualikali hana uzoefu ndio maana anaongea alivyoongea.
Kwa mtu mwenye dhamana ya spika, maneno ya Mh. Ndugai ni
maneno ya kibaguzi tena ya kejeli. Hayafai kutamkwa na Spika wa Bunge. Kabla ya hapo alikejeli pia kauli za wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao kadhaa vya bunge Mh. Halima Mdee na mwenzake Mh. Ester Bulaya kuwa watakwenda mahakamani.
Ni kawaida kwa Mh. Spika na Naibu wake pamoja na wabunge wa CCM kutenda kama mawakala wa serikali kwa kujibu au kukosoa michango ya wabunge wa upinzani. Kuendelea kuwa na spika wa aina ya Mh. Ndlugai ni hatari kwa afya ya Bunge.Ikumbukwe pia kuwa Spika aliamuru Mbunge wa Kibamba Mh. Mnyika atolewe nje kama kibaka kisa kuomba mwongozo wa Spika kuhusu yeye kuitwa mwizi na Mh. Kibajaji. Inasikitisha sana kuwa spika anabagua wabunge anaowaongoza, kupendelea wa CCM na kupuuza wa upinzani hata kama wana hoja. Mwaka 2007 Mh. Zito Kabwe wakati huo akiwa CHADEMA alifukuzwa bungeni ikisemekana amelidanganya bunge alipodai kuwa Mh. Karamagi, Waziri wa Nishati na Madini wakati huo amesaini mkataba akiwa hotelini London, Uingereza. Ilikuja kubainika kuwa Mh. Zito alisema ukweli. Mambo waliyoyatetea wabunge wa CCM wakati huo pamoja na spika wao, ndiyo anayohangaika nayo Mh. Magufuli wakati huu, mikataba ya kijinga kwa sababu ya ushabiki wa kijinga wenye maumivu kwa nchi.
Kuna mapungufu makubwa sana katika siasa za chama tawala na

Siku zote viongozi wako tayari nchi iharibikiwe lakini si chama

Wabunge wa chama tawala wako tayari kupitisha mikataba mibovu hata kama upinzani umewashtua ya kwamba huu haufai ili tu kuwafurahisha viongozi wao na kuwaacha watanzania wakilia.

Watanzania nao kila kipindi cha uchaguzi wanahadaiwa na vijisenti vya siku mbili ili kuendelea kuwachagua hawa watafunao inchi

Kwa namna moja au nyingine hata wananchi pia wameshiriki kwa hili jambo liitesalo inchi miaka yote

Nawasilisha Hoja
 
CCM ni watu wa ajabu sana,wanajizungusha zungusha kutafuta aliyoingia mikataba hivyo utadhani hawawajui walipo akina kikwete na mkapa
Hapana mikataba yote ya kifisadi inji hii ilisainiwa na TUNDU ANTIPASI MUGHWAYI LISU, ndio maana anaitwa mwizi na wale MASHETANI WATAKATIFU
Heshima Kwenu,
Nimefuatilia Bunge kwa siku za karibuni na hasa Bunge la Bajeti na kugundua kuwa Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai anafanya bidii sana kuhakikisha ana-undermine hoja zonazotolewa na Opposition hasa na wabunge wa CHADEMA.
Wakati akichangia mjadala leo mbunge wa Kilombero Mh. Peter Lijualikali alisisitiza kuwa wote waliohusika na mikataba mibovu wasionewe haya iwe ni Mh. Chenge mbunge wa Bariadi na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa kuingia mikataba na marais waliokuwepo wakati huo(wa awamu ya tatu na nne). Baada ya kauli hiyo Mh. spika alitoa kauli za kejeli akionekana kupinga kwa kudai Mh. Lijualikali awe mwangalifu kwa kutaja marais wastaafu kwani hata upande wa pili kuna mawaziri wakuu wastaafu. Aliendelea kudai kuwa Mh. Lijualikali hana uzoefu ndio maana anaongea alivyoongea.
Kwa mtu mwenye dhamana ya spika, maneno ya Mh. Ndugai ni
maneno ya kibaguzi tena ya kejeli. Hayafai kutamkwa na Spika wa Bunge. Kabla ya hapo alikejeli pia kauli za wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao kadhaa vya bunge Mh. Halima Mdee na mwenzake Mh. Ester Bulaya kuwa watakwenda mahakamani.
Ni kawaida kwa Mh. Spika na Naibu wake pamoja na wabunge wa CCM kutenda kama mawakala wa serikali kwa kujibu au kukosoa michango ya wabunge wa upinzani. Kuendelea kuwa na spika wa aina ya Mh. Ndlugai ni hatari kwa afya ya Bunge.Ikumbukwe pia kuwa Spika aliamuru Mbunge wa Kibamba Mh. Mnyika atolewe nje kama kibaka kisa kuomba mwongozo wa Spika kuhusu yeye kuitwa mwizi na Mh. Kibajaji. Inasikitisha sana kuwa spika anabagua wabunge anaowaongoza, kupendelea wa CCM na kupuuza wa upinzani hata kama wana hoja. Mwaka 2007 Mh. Zito Kabwe wakati huo akiwa CHADEMA alifukuzwa bungeni ikisemekana amelidanganya bunge alipodai kuwa Mh. Karamagi, Waziri wa Nishati na Madini wakati huo amesaini mkataba akiwa hotelini London, Uingereza. Ilikuja kubainika kuwa Mh. Zito alisema ukweli. Mambo waliyoyatetea wabunge wa CCM wakati huo pamoja na spika wao, ndiyo anayohangaika nayo Mh. Magufuli wakati huu, mikataba ya kijinga kwa sababu ya ushabiki wa kijinga wenye maumivu kwa nchi.
 
Nashukuru kwa ww pia kuendelea kuwa nyumbu.
Nyumbu mko CCM Mkuu,kwa kuwa mnaamuliwa kila kitu na mwenyekiti wenu kisha mnapiga makofi kama mazuzu. Unafikiri walioleta shida nchi hii ni nani? No ninyi kwa kushabikia upuuzi.
Kama huna hoja, shut the hell up!
 
Kuna mapungufu makubwa sana katika siasa za chama tawala na

Siku zote viongozi wako tayari nchi iharibikiwe lakini si chama

Wabunge wa chama tawala wako tayari kupitisha mikataba mibovu hata kama upinzani umewashtua ya kwamba huu haufai ili tu kuwafurahisha viongozi wao na kuwaacha watanzania wakilia.

Watanzania nao kila kipindi cha uchaguzi wanahadaiwa na vijisenti vya siku mbili ili kuendelea kuwachagua hawa watafunao inchi

Kwa namna moja au nyingine hata wananchi pia wameshiriki kwa hili jambo liitesalo inchi miaka yote

Nawasilisha Hoja
Amen Mkuu Tecnicos
 
matatizo yote yanayotokea nchi hii yanasababishwa na chanzo kimoja tu-cha Rais kutoshitakiwa!
Ktk kitu yule baba wa Taiga alikosea ni kutoibadilisha ktk kumuondolea Rais madaraka na hili aliliona ingawa aliogopa hata yeye katiba hiyohiyo ingemuadhibu.
 
Heshima Kwenu,
Nimefuatilia Bunge kwa siku za karibuni na hasa Bunge la Bajeti na kugundua kuwa Spika wa Bunge Mh. Job Ndugai anafanya bidii sana kuhakikisha ana-undermine hoja zonazotolewa na Opposition hasa na wabunge wa CHADEMA.
Wakati akichangia mjadala leo mbunge wa Kilombero Mh. Peter Lijualikali alisisitiza kuwa wote waliohusika na mikataba mibovu wasionewe haya iwe ni Mh. Chenge mbunge wa Bariadi na aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakati wa kuingia mikataba na marais waliokuwepo wakati huo(wa awamu ya tatu na nne). Baada ya kauli hiyo Mh. spika alitoa kauli za kejeli akionekana kupinga kwa kudai Mh. Lijualikali awe mwangalifu kwa kutaja marais wastaafu kwani hata upande wa pili kuna mawaziri wakuu wastaafu. Aliendelea kudai kuwa Mh. Lijualikali hana uzoefu ndio maana anaongea alivyoongea.
Kwa mtu mwenye dhamana ya spika, maneno ya Mh. Ndugai ni
maneno ya kibaguzi tena ya kejeli. Hayafai kutamkwa na Spika wa Bunge. Kabla ya hapo alikejeli pia kauli za wabunge waliosimamishwa kuhudhuria vikao kadhaa vya bunge Mh. Halima Mdee na mwenzake Mh. Ester Bulaya kuwa watakwenda mahakamani.
Ni kawaida kwa Mh. Spika na Naibu wake pamoja na wabunge wa CCM kutenda kama mawakala wa serikali kwa kujibu au kukosoa michango ya wabunge wa upinzani. Kuendelea kuwa na spika wa aina ya Mh. Ndlugai ni hatari kwa afya ya Bunge.Ikumbukwe pia kuwa Spika aliamuru Mbunge wa Kibamba Mh. Mnyika atolewe nje kama kibaka kisa kuomba mwongozo wa Spika kuhusu yeye kuitwa mwizi na Mh. Kibajaji. Inasikitisha sana kuwa spika anabagua wabunge anaowaongoza, kupendelea wa CCM na kupuuza wa upinzani hata kama wana hoja. Mwaka 2007 Mh. Zito Kabwe wakati huo akiwa CHADEMA alifukuzwa bungeni ikisemekana amelidanganya bunge alipodai kuwa Mh. Karamagi, Waziri wa Nishati na Madini wakati huo amesaini mkataba akiwa hotelini London, Uingereza. Ilikuja kubainika kuwa Mh. Zito alisema ukweli. Mambo waliyoyatetea wabunge wa CCM wakati huo pamoja na spika wao, ndiyo anayohangaika nayo Mh. Magufuli wakati huu, mikataba ya kijinga kwa sababu ya ushabiki wa kijinga wenye maumivu kwa nchi.

Haya ndiyo matokeo ya viongozi wenye uwezo dhaifu, always huwa hawana jipya zaidi ya kuponea kwenye hiyo mitafaruku huku siku zikisonga mbele. ukilinganisha na wakati wa mzee 6 chombo kile kilikuwa very focused. uonezi na udhalilishaji wa aina hii ulikuwa agharabu sana tena hasa kutoka kwa spika. Style anayotumia huyu kuendesha hiki chombo ndiyo anayotumia sizonje ku-spin akili za waliyodanganyika miaka nane.
 
monges: Wewe unafikiri kwa nini CCM inashinda kila uchaguzi? Mimi najua ni kwa sababu kuu mbili:
1. Ujinga wa watanzania walio wengi. Angalia maeneo yote yenye wasomi wengi CCM haishindi.
2. Tume ya Uchaguzi siyo huru. Mgombea mmojawapo anachagua wa kusimamia uchaguzi na kutangaza matokeo. Yaani timu moja inachagua refa wa mchezo.
3. Wizi wa kura
 
Back
Top Bottom