Mh. Spika Jitahidi Kuheshimu Wabunge wa CHADEMA

Napenda kauli za wapinzani but pale wanapoingiza uchama ndo pale wanaposulubiwa! Tuwashauri basi watumie unabussive language!!
Hebu jiongeze kidogo kisha utafakari upya hakika kama wewe ni mzalendo wakweli basi utagundua kuwa wewe ni mtu wanamna gani.
 
Ccm ni wanafiki kiwango cha lami ila wanaumbukaga haraka sana...huyo mgogo kavimba uso kma mnywa viroba
 
NA HILI NDILO TATIZO KUBWA LA MIFARAKANO BUNGENI
Kwa upande mwingine tunamuona wa hivyo lkn hiyo ndio sera ya chama chake. Rejea maneno/maagizo ya Bw yule. Lkn ukweli siku zote hautapotea hata haya yanayoendelea leo ni ushahidi tosha.
 
Nimesikia hiyo sehemu.
Ndugai anaongea kama mwanaCCM na sio Spika wa Bunge.

Ameonesha udhaifu wa hali ya juu kama spika wa bunge
 
Ninaona Ndugai aachwetu maana atapita na Tanzania na buñge letu vitadumu
Nasisitiza kama nilivyomuambia Nape ajifunze kwa Wasira
 
Ndugai ni mpuuzi afadhali wale wagogo wenye ugonjwa wa trachoma kule kijijini!! Jitu linatembea na rungu!! Jinga kuu ndugai!! huyu hapaswi kuheshimiwa hata na kuku!!
Hiyo asiheshimiwe hata na kuku inanifurahisha.
 
Hizo nyimbo za matusi hazisaidii sana, nadhani ingekuwa jambo jema kukosoa upande wa pili kimsingi wao wana hoja za kulazimisha, 2020 si mbali sana, CCM wanaendelea kujipanga na kutimiza ahadi zao kwa wananchi, upande wa pili hawana hoja tofauti na kuvizia makosa ya CCM, ndipo wanaposhindwa kwenye chaguzi na usingizia kuibiwa kura, na utaratibu wa harakati za vyama vyetu vya upinzani- ni wazi CCM bado wananafasi kubwa ya kuendelelea kutawala tz.
Hongera kwa kukosa akili
 
Wengi walioandika afya ya ndugai ichunguzwe niliwapuuza , lakini leo nawaomba radhi rasmi .
 
Hizo nyimbo za matusi hazisaidii sana, nadhani ingekuwa jambo jema kukosoa upande wa pili kimsingi wao wana hoja za kulazimisha, 2020 si mbali sana, CCM wanaendelea kujipanga na kutimiza ahadi zao kwa wananchi, upande wa pili hawana hoja tofauti na kuvizia makosa ya CCM, ndipo wanaposhindwa kwenye chaguzi na usingizia kuibiwa kura, na utaratibu wa harakati za vyama vyetu vya upinzani- ni wazi CCM bado wananafasi kubwa ya kuendelelea kutawala tz.
Uongo utakusaidia nini ?
 
Hivi humu Jukwaani kuna Maccm? Hawapati haya aibu kuwa mikataba hii ilipingwa na Zitto akiwa mtoto kabisa mpaka sasa amezeeka? Baadhi ya hao Ndiooooo, bado wapo mjengoni. Aibu hawana Maccm.
 
amesha binywa na sizonje inabidi afuate Yale yampendezayo dereva wa roli
 
Back
Top Bottom