chumvichumvi
JF-Expert Member
- May 6, 2010
- 1,207
- 309
Kwema wana jamvini
Mh. Kariuki sheria haiko general kiasi hicho na imekusudiwa isiwe hivyo sababu miaya ya makosa na ingekuwa mingi kama ilivyotaka kuwa.
Kwa mfano wakuu wa mikoa wilaya na kadhalika je ni viongozi wa kisiasa au kiserekali? Jibu la moja kwa moja lipo kwenye uteuzi wao. Najiribu kusema hivi Raisi anapoteua kwa mamlaka ya uraisi kiongozi huyo awi kiongozi wa kisiasa bali wa kiserekali japo anaweza kuwa mwanasiasa kwa upande mwingine tofauti na uteuzi huo mfano ni katibu mkuu wizara ya maji ambae pia alikuwa mwanasiasa kabla ya uteuzi wake.
Linapokuja swala la wakuu wa mikoa na wilaya hawa ni viongozi wa kiserekali na teuzi zao ni vyema zifuate sheria husika kutokana na wadhifa husika Mfano wakuu wa mikoa moja ya vigezo itajika ni degree kutoka chuo chochote kinachotambulika na kadhalika .....
Karibuni tuchangie