Mh Rais watie ndani kina Mwanakijiji!

Status
Not open for further replies.

MAKULUGA

JF-Expert Member
Jan 21, 2011
7,165
9,372
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !

Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?
 
kamanda, hata mweshimiwa rais anamfahamu sana mzee wetu mwanakijiji. Huyu mzee wetu akikamatwa nchi itatikisika na ndo maana JK anamezea. Wajaribu waone kama maandamano yake watayamudu
 
Pole ndugu bado unaishi dunia ya giza. sio kosa lako mungu akusamehe na nakuombea maisha marefu ili uwone matunda ya watu wazalendo kama mwanakijiji tunavyofanikiwa kuleta ukombozi wa kweli kwa taifa hili.

Sikushangai hata kidogo kwani hata Osama Bin Laden naye anao wanaomuunga mkono. rest in peace.
 
Hakuna upatano wa mawazo yako! Huelewiki unasema nini!:A S thumbs_down:
 
.....!Mkuu anatakiwa aibuke atolee maelezo au awashughulikie wanao msema ...la sivyo kama hana majibu ,basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! .
Wenye akili walishaona na kujua ukweli, mmebaki ninyi mnaomshauri rais awakamate watu!
 
mhhhhh!!!!!!!!! ???????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
mkwere anamjua sana MMJ..labda alishawahi kuomba kum-interview..lakini kwa uwezo mdogo wa mkwere katika kujenga hoja, itakuwa alimtolea nje tuu.
 
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !

Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

Tatizo liko wapi hapo? oh yes tatizo lipo kwako, ufinyu wa kuelewa.
 
Unafikiri Rais wetu ni dicteta kama Nyerere?

Rais wetu hajali kukosolewa na wananchi wake?

Hiyo ni hulka ya viongozi wababe kama kina Mkapa, Nyerere, Slaa etc..

Lakini JK..hana shida na watu wenye kutoa maoni yao..kikatiba ok..(be informed)
 
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

..........! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

Nashauri wana JF kujipanga ktk kuwasilisha hoja hapa JF! KYALOSANGI haujaeleweka vizuri kama unashangaa kwa nini raisi hajibu tuhuma anazotoa mwanakijiji au unajaribu kusema kuwa tuhuma anazotoa mwanakijiji ni uongo? Either way hukupashwa tena kuweka sentensi hapo juu (bold). Mwisho wa siku umeonekana unamtetea JK na kumshutumu MM wakati kwa maelezo yako mwenyewe huna hakika yupi ni mkweli! Mwisho nikukumbushe tu kuwa raisi ni taasisi na si mtu mmoja!
 
Thread zingine unaweza kujuta kwanini ulipoteza muda kuifungua! hii ni zaidi ya Crap
 
kwamba Rais anahusika mbona halina ubishi. Tatizo ni jinsi gani yeye anahusika na kama yeye mwenyewe au familia yake wana ushiriki wa hisa kwenye Dowans Holdings S.A. Hili ndilo tunalotaka kujua. Kwamba sijui anitie ndani ni kwamba hana uwezo huo, ubavu huo wala sababu hiyo. Kwa kifupi hana madaraka hayo. Nilimkatilia mambo hayo alipodai Bungeni kuwa anauwezo wa kuamuru Dr. Slaa afungwe na akafungwa. Ni nyinyi msiojua haki zenu ndio mnaamini Rais akisema basi inakuwa.

Lakini swali la kujiuliza hata kama kina "mwanakijiji" watafungwa or what have you mnafikiri ndio fikra za mabadiliko nazo zitafungwa? Hivi mnajua ni wangapi wametiwa pingu kwa kumpinga Mubarak kwa miaka karibu thelathini hii? Ni wangapi walimpinga Saddam au waliopinga utawala wa Makaburu. You can't imprison an idea nor can you kill it. It will survive you and your children.
 
mmj usiwe na shaka kumbuka1980 walio mdhulumu katabaro si ndio hawa wanataka uongozi upinzani? je roho ya katabaro si bado ipo? na ndio maana loliondo ni shida mpaka leo? ole wao
 
Niliwahi kusoma makala ya mwanakijiji kuhusu CCJ kwamba chama makini kitaleta changes two days later hamna cha CCJ wala harufu yake.
Mwanakijiji mbona kawaida tu wanaomsujudia poa tu lakni kwa ufupi HAJULIKANI hatujawahi ona kaalikwa hata kwenye tv kama wachambuzi wengine.
Kuhusu kujibu jk anaamini katika uhuru wa kutoa maoni..mwanakijiji analijua hilo ndo maana anaropoka bila breki angejaribu enzi za Nyerere ama hata mkapa angefia kizuizini.
Na jk hana shida ya kujibu kwa shinikizo la akina mwanakijiji .
Mwanakijiji alikua wapi kumuuliza mkapa kuhusu umiliki wake wa benki M
 
Nimekuwa nikifuatilia makala mbalimbali za huyu mtu anaitwa Mwanakijiji, katika makala hizo anaonekana ni mtu wenye ufahamu mzuri, mbali ya kuwa data za kumwaga! Lakini kuna hili la kumtajataja Mh RAIS ..linanitia Jakamoyo! Hata kama sikumchagua LAKINI ...!

Katika makala ya Tanzania Dima JANA jamaa anasema wazi kuwa Rais aeleze anahusikaje suala la DOWANS! Hapa haulizi kama alihusika ! Anahoji alihusikaje !

Kwa mamlaka aliyopewa Rais na katiba yetu shutma hizi ni nzito .....! Mkuu anatakiwa aibuke azitolee maelezo au awashughulikie wanaomsema ...la sivyo kama hana majibu, basi wenye akili tutaanza kuoona ni kweli! Na kumbuka hata uongo ukirudiwarudiwa, unabadilishwa na kuwa ukweli! BABA inuka useme, au basi wadhibiti watu wako ...kama unaweza!

Kinyume cha hapo hawa kina Mwanakijiji wataendelea kukuharibu ...au labda unajiharibia mwenyewe!

Kumbuka watu hawa ni wengi, muulize yalivyomwuuliza TYSON wako kule Bunda, je unajuaje ni Watanzania wote wanajiuliza maswali hayo?

mimi namuomba mhe sana aanze kukutia adabu wewe kwanza
 
Join Date : Fri Jan 2011
Location : KINAMPNDA
Posts : 18
ThanksThanked 4 Times in 2 Posts

Rep Power : 0

Ukimya nao ni ujumbe
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom