sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,013
- 8,369
Habar za jioni wadau?
Baada ya kujua kuwa yule kibosile wa Barick alikuwa akiishi canada nikajiwa na hasira sanaaa hasa nilipokumbuka jinsi ambavo niliwahi kuona wakiwaonga wakaguzi kutoka Benki kuu ya Tanzania walipo kuja kukagua tahasisi ya mikopo ijulikanayo kama EFC Microfinance Bank,nakumbuka sanaaa watumishi wa benk kuu walivyokuwa wakipewa mlungula wa pesa ili waandike ripoti inayoonesha kuwa tahasisi hiyo ilikuwa ikijiendesha kwa hasara.
Kilio changu kiliongezeka pale,niliposikia kuwa heti Benki kuuu ya TAnzania,chini ya utawala wa PHD 17,haina rekodi ya mauzo ya madini ila ina rekodi ya mauzo ya pamba.
Mkuu, rais wa nchi hii nima kusihii benki kuu tanzania imeoza inanuka rushwa ni tahass ambayo watalamu wote wananuka rushwa
Asante mkuu