Mh rais wacanada ni wezi rejea EFC microfinance Bank

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,436
2,000
Habar za jioni wadau?

Baada ya kujua kuwa yule kibosile wa Barick alikuwa akiishi canada nikajiwa na hasira sanaaa hasa nilipokumbuka jinsi ambavo niliwahi kuona wakiwaonga wakaguzi kutoka Benki kuu ya Tanzania walipo kuja kukagua tahasisi ya mikopo ijulikanayo kama EFC Microfinance Bank,nakumbuka sanaaa watumishi wa benk kuu walivyokuwa wakipewa mlungula wa pesa ili waandike ripoti inayoonesha kuwa tahasisi hiyo ilikuwa ikijiendesha kwa hasara.

Kilio changu kiliongezeka pale,niliposikia kuwa heti Benki kuuu ya TAnzania,chini ya utawala wa PHD 17,haina rekodi ya mauzo ya madini ila ina rekodi ya mauzo ya pamba.

Mkuu, rais wa nchi hii nima kusihii benki kuu tanzania imeoza inanuka rushwa ni tahass ambayo watalamu wote wananuka rushwa

Asante mkuu
 

Rweye

JF-Expert Member
Mar 16, 2011
16,383
2,000
Umemaliza vyema mkuu. Naamini hii taasisi na mkuu wake wote ni watu wa ajabu sana, sikuwahi kufikiria mpaka leo hawa jamaa watazidi kuwa ofisini
 

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
3,436
2,000
EFC..hebu eleza zaidi kuhusu bank hiyo
Nielezee nn mkuu, unachotaka kukijua kile kitahasisi kilianza miaka kama minne au mitano iliyopita na kilikuwa chini ya Benki kuu,kwa tanzania ilikuwa microfinance ya kwanza kuwa chini ya benk kuu,

Cha ajabu, ile hali ya kuwa chini ya benki kuu tu,kodi nyingi zmekwepwa kulipwa pale kila mwaka wanatangaza hasara,na hii tahasisi ndo iliyoua kale katahasisi kaliko itwa dunduliza yani hawa wakanada kwa kuonga au kutoa rushwa kwa watumishi wa benki kuu ilikuwa balaa,hasa walee walio kuja kwa majina yao het external ouditors majizi matupu,yani nchii hii imeibiwa sanaaaa.ila watanzania wengi hasa wasomi wetu tulio waogopa wakija pale walikuwa majizi sanaaaa wakanada ni wezi hasa wacana walio tawaliwa na france ni aibu majizi vibaya mno
 

olyanu

JF-Expert Member
May 30, 2017
1,835
2,000
Hivi safari ya JK canada haina uhusiano wowote na ACACIA?
Wewe usidhani ni nini mzee? Joti anapovaa shela na kutangaza kaolewa Siyo kwamba anabadilika na kuwa lijimama bado ni dume la nguvu bali pale huwa anatafuta pesa tu mzee. Achana na usanii mpendwa. I wish I could be joti
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom