Mpendakwao
Member
- Mar 29, 2007
- 91
- 20
Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
Chris mkosi na obsession ya chadema! Pole sumu unaependa kulialia wewe. Hivi mara ya mwisho kumeza dawa ni lini? Maana hali yako inazidi kutia wasi. Kapime hiyo kichwa ile ajali ilikuathiri vibaya sana.
Lakini hujatueleza juu ya ufanisi wa kilimo Botswana. Nani amewekeza? Je Wabotswana wenyewe wanalima? Kuna nchi ngapi za dunia ya tatu ambazo zimefanya maendeleo katika kilimo kwa kukaribisha wageni? Kilimo cha kijamaa kilishindwa kutuondoa kwenye kilimo cha jembe hadi kilimo cha mashini. Lakini je, Waturuki watatupeleka kwenye kilimo cha mashini au wamekuja kujilimia kama ilivyoruhusiwa kwa Saudi Arabia na Marekani? Hayo ndiyo maswali ninayotafuta majibu yake.hoja ni mwekezaji mwenye mtaji wa kutosha hata akiwa Mngindo haina shida, au tatizo la mleta mada ni kwa kuwa mwekezaji mwenyewe ni Mturuki? Hata Nyerere mwenyewe hakuwa na mafanikio kwenye kilimo cha kijamaa
Lakini hujatueleza juu ya ufanisi wa kilimo Botswana. Nani amewekeza? Je Wabotswana wenyewe wanalima? Kuna nchi ngapi za dunia ya tatu ambazo zimefanya maendeleo katika kilimo kwa kukaribisha wageni? Kilimo cha kijamaa kilishindwa kutuondoa kwenye kilimo cha jembe hadi kilimo cha mashini. Lakini je, Waturuki watatupeleka kwenye kilimo cha mashini au wamekuja kujilimia kama ilivyoruhusiwa kwa Saudi Arabia na Marekani? Hayo ndiyo maswali ninayotafuta majibu yake.
Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
Wewe na kikwete ni mqjanga, mpaka huyu kikwete amalize muda wake nchi itakuwa imeshauzwa kitambo.Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
jasusi ukielewa mfumo wa kibepari utatambua kuwa hakuna hata bepari mmoja duniani anaefanya biashara kuendeleza patner wake wa biashara, msingi kuu wa upepari ni kutafuta Faida awe mweusi au mweupe so msiote kupata bepari ( mwekezaji) ataewatoa kwenye jembe la mkono hilo ni la wa Tz wenyewe.Botswana kuna Boers walowekeza kwenye mashamba makubwa kupitia mitaji, utaalam na soko la uhakika, kupitia mapato yapatikanayo na kilimo kikubwa na utaalam upatikanao kutoka kwa wawekezaji sasa ndo wazalendo wameanza kilimo cha ku feed soko la ndani. Sie tuna Ardhi wao wanamitaji, soko na Utaalam so jukumu la serikal ni kujipanga kufaidika na uwekezaj sio kukataa halaf watu wanaagiziwa mahind ya kukabiliana na njaa toka nje tunakuwa hatuna tofaut na mfugajmwenye ng'ombe 100 lakin analalia ngozi
Achana na siasa za Kigoda cha mwl kwenye Kilimo, Mwl mwenyewe hana mafanikio kwenye sekta ya kilimo tatizo la wabongo ni kuweka mbele siasa kwenye kila kitu, Huna mtaji, soko,utaalam lakin unaota kuwa Na Estates za kilimo cha biashara.Kuongea na kutekeleza ni vitu viwili tofauti hivi sasa watu hawajadili kuingia kwenye mfumo wa kibapari bali wanajadili jins ya kuish na Ubepari hicho kigoda kinazungumzia Utopian Socialism ulomshinda even muasisi wake.
namnukuu,bw,khamisi swedi kagasheki,,,,,,hardhi,,,yote tanzania,ni mali ya bwana mkubwa,rais,hakuna mtanzania yoyote mwenye hati miliki ya hardhi,kuwa mali yake isipokua umilikiswa kwa miaka,36,99,mwisho wa kumnukuu,,sasa kwa maneno haya na kwa katiba hii ya sasa inampa rais dilitu za kutuuza kila anapotaka,wewe huoni anavyo safiri na kaulimbiu yake ni kwenda kutafuta wawekezaji,wanaokuja kupewa maekari ya mashamba,alafu watanzania wanatolewa kama wakimbizi juu ya hardhi yao,watanzania wenzangu tuamke nchi inauzwa kwa kasi ya fasti jet,,,lakwanza ni kupigania hakizetu zinazotaka kuporwa na ccm kwenye mchakato wa katiba,ya sasa,na kuakikisha rais anakua mtumishi na sio mungu mtu,mimi katika maisha yangu sijaona wazungu waki omba omba,misaada kama matonya,na nchi zao hazina utajiri wa rasilimali kama africa,ebu tujiulize wa tanzania tumelogwa na nani,nchi tajiri kama tanzania,bado viongozi wanabeba mabakuli,nchi za nje na kuomba omba kama matonya,haya gesi imeshapatikana,hata wazungu wanatucheka sana kila siku utasikia wawekezaji wawekezaji,uhu ni ujinga wa kufikiriatu kwa serikali ya ccm,
Songoro,
Asante kwa jibu hili.Tofauti ya Makaburu na wawekezaji wa Kiturki au Kimarekani au Saudi Arabia ni kwamba Makaburu are here to stay. Watalima Botswana na faida kuwekeza hapo hapo Botswana au Afrika kusini ambayo Botswana ni kama kiunga chake. Tofauti na hiyo, Waturuki na Wamarekani watatumia ardhi yetu, watalima, watavuna na mavuno hayo kuishia kwenye soko lao na faida kubaki huko huko. Sisi tutaendelea kuwa watizamaji, na hata soko la kimataifa hatulipati kwa sababu mwanya wa kuingia huko tumeshazibiwa na hawa wawekezaji wenu. Afadhali tuwakaribishe Wakenya na Wanyarwanda walime kwenye ardhi yetu mara kumi kuliko kuwakaribisha Waturki Wamarekani na Wasaudia. Wakenya na Wanyarwanda ni jirani zetu. Maarage yao, ndizi, tutakula sote lakini hawa wengine wataendelea kututumia tu kama source of cheap labour and raw materials mambo yaliyosababisha tupigane kuuondoa ukoloni. Inaonekana Kikwete anaturudisha kwenye ukoloni mamboleo.
Hilo la Kikwete halijanishtua, narudia halijanishtua coz' nafahamu hilo ndo lililopo nchini kwetu kwa miongo sasa!! Kama kushtushwa, nimeshtushwa na wewe Mtanzania mwenzangu ambae kumbe hadi sasa ulikuwa bado hujafahamu kwamba sera zilishaamua kwamba kilimo chetu kitainuliwa na wageni!!! Hakika, umenishtua....umenishtua kuona kwamba kumbe wala ulikuwa hujui yanayoendelea nchini mwako kwa miaka sasa....hivi una habari kwamba viwanda karibu vyote vilishabinafsishwa?
Songoro,hapana tofauti, Makaburu kule kusini wapo kama Settlers sio Forign Investors kama walivyo wamarekan na waturuki, NA hao makaburu wakienda Msumbiji au mererani au Geita hawana tofaut na wengine.Tatizo letu sie ni Risk Avoiders badala ya kuwa Risk takers so tusitegemee muujiza kwenye kilimo
We sasa nimegundua c mzima,hivi kipindi cha mwalimu zao la pamba,korosho,kahawa utalinganisha na sasa. nadhani pia umenukuu quote,nadhani unahitaji ufafanuzi zaidi juu ya quote yako
hapa hatujadili majina au awamu za Uongoz tunachozungumza ni kuwa ujamaa umeshindwa kusimamia kilimo dunia nzima sio tanzania pekee, unajua wakati wa ujamaa ndo kipindi tulicholishwa unga wa msaada toka marekani? Unajua kuwa ndo kipindi watu walikuwa wakivaa viraka wakati tunalima pamba? Acha siasa hapa inajadiliwa sera!
Songoro,
Point yangu bado ni ile ile. Afadhali waje Makaburu mara kumi kuliko hawa watoka nchi za mbali. Katika ubepari siri imo katika kutengeneza capital. Kwa kuruhusu uwekezaji wa Waturuki na Wamarekani capital yote itaishia kwao sisi tutabaki watizamaji tu. At the end of the day tutabaki na ardhi inayomilikiwa na wageni na sisi tukiwa kama ma campesinos wa nchi za Amerika kusini. Let ut take risks in other ventures but not on our ardhi.
Songoro ugali wa yanga ni zao la kuyumba kwa uchumi baada ya vita ya uganda,mbona unatoka povu kwa kutetea upuuzi
Songoro,
Naomba utufungue macho kuhusu kilimo cha Botswana. Ni nani anayelima huko? Ni Mturuki pia?
Hv mkuu unaijua historia,tulikula ugali wa yanga toka uhuru,uchumi wa kilimanjaro ulitegemea kahawa miaka yote,unaijua hali ilivyo sasa. we ugali wa yanga ndo unaukumbuka tuuganda wenyewe mbona hawakula huo unga? Vita ndo vilimzuia yule mnyakyusa na mfipa kule nyanda za juu kusini wasilime mahindi, Achana kukarir kusoma vitabu vya TANU yajenga nchi kilimo kilikufa kwa sera ya ujamaa wala usisingizie vita.Zimbabwe walipigana miaka mingapi mbona hawakupata hilo tatizo?
Hv mkuu unaijua historia,tulikula ugali wa yanga toka uhuru,uchumi wa kilimanjaro ulitegemea kahawa miaka yote,unaijua hali ilivyo sasa. we ugali wa yanga ndo unaukumbuka tu