Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
ccm wanarudisha nchi yetu kwa wakoloni tena!ni kweli Mh JK amenishtua. leo amewakaribisha wa Turkish kuwekeza nchini kwenye sekta mbalimbali ikiwamo kilimo! yani kwa miaka zaidi ya 50 ya kuwa huru na kujitawala,leo tunamkaribisha bepari aje kuwekeza kwenye kilimo! ilitakiwa tuwaambie tuna hotculture products bora,pamba bora kahawa bora,korosho bora,ngano bora katani bora,ndizi bora tunahitaji soko wafungue milango. wawekeze kwenye kilimo!?!wasaidie kilimo kwanza au!? kilimo kwanza kimeshindwa hadi mnakaribisha mabepari kuwekeza kwenye kilimo! shame on us, shame to the government. Sikubaliani hata chembe na Mh JK hata chembe katika hili,totally sounds like a fail government
Mwl Nyerere baada ya kulihutubia bunge huru la South Afrika alihijiwa na Waandish wa habari akaulizwa ni jambo gani anadhan alikosea katika utawala wake nae alisema alichokosea ni kuamini kuwa mfumo wa Ujamaa ungeweza kustawisha Kilimo, chini ya kilimo cha mfumo wa kijamaa ilifikia hatua tukala unga wa Yanga toka kwa mabepari wa kimarekani, hata wachina wameachana na kilimo cha kijamaa, Ubepari na soko huria ndo mpango mzima, Tembeleeni botswana muone kilimi kilivyostawi!
Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
songoro,kumbuka hawa hawawezi kulima kwa manufaa yetu, kilimo kwanza kimeshindwa,kweli serikali inafanya juhudi za dhati kumkombo mkulima. hembu fuatilia habari za kigoda cha mwalimu kilichomalizika juziMwl Nyerere baada ya kulihutubia bunge huru la South Afrika alihijiwa na Waandish wa habari akaulizwa ni jambo gani anadhan alikosea katika utawala wake nae alisema alichokosea ni kuamini kuwa mfumo wa Ujamaa ungeweza kustawisha Kilimo, chini ya kilimo cha mfumo wa kijamaa ilifikia hatua tukala unga wa Yanga toka kwa mabepari wa kimarekani, hata wachina wameachana na kilimo cha kijamaa, Ubepari na soko huria ndo mpango mzima, Tembeleeni botswana muone kilimi kilivyostawi!
ni kweli mh jk amenishtua. Leo amewakaribisha wa turkish kuwekeza nchini kwenye sekta mbalimbali ikiwamo kilimo! Yani kwa miaka zaidi ya 50 ya kuwa huru na kujitawala,leo tunamkaribisha bepari aje kuwekeza kwenye kilimo! Ilitakiwa tuwaambie tuna hotculture products bora,pamba bora kahawa bora,korosho bora,ngano bora katani bora,ndizi bora tunahitaji soko wafungue milango. Wawekeze kwenye kilimo!?!wasaidie kilimo kwanza au!? Kilimo kwanza kimeshindwa hadi mnakaribisha mabepari kuwekeza kwenye kilimo! Shame on us, shame to the government. Sikubaliani hata chembe na mh jk hata chembe katika hili,totally sounds like a fail government
Mwl Nyerere baada ya kulihutubia bunge huru la South Afrika alihijiwa na Waandish wa habari akaulizwa ni jambo gani anadhan alikosea katika utawala wake nae alisema alichokosea ni kuamini kuwa mfumo wa Ujamaa ungeweza kustawisha Kilimo, chini ya kilimo cha mfumo wa kijamaa ilifikia hatua tukala unga wa Yanga toka kwa mabepari wa kimarekani, hata wachina wameachana na kilimo cha kijamaa, Ubepari na soko huria ndo mpango mzima, Tembeleeni botswana muone kilimi kilivyostawi!
Ndugu mbona una panick,mimi nimekosoa juhudi za serikali kuwekeza kwenye maendeleo ya kilimo. kwanini tumbabaike mwekezaji kwenye kilimo,ulioutiwa uti wa mgongo.ya chadema yametokea wapi?
Hii kweli ni Sumu! CCM & CDM...Watanzania ni watu wa kulialia tu muda wote. Sasa kama wewe uliyetakiwa uje kuwa mwekezaji ndiyo umeamua kuwa mchumia tumbo wa CHADEMA, unaanzisha thread zako za kiPropaganda, ulitaka serikali ifanyeje?
Songoro,
Naomba utufungue macho kuhusu kilimo cha Botswana. Ni nani anayelima huko? Ni Mturuki pia?
Mwl Nyerere baada ya kulihutubia bunge huru la South Afrika alihijiwa na Waandish wa habari akaulizwa ni jambo gani anadhan alikosea katika utawala wake nae alisema alichokosea ni kuamini kuwa mfumo wa Ujamaa ungeweza kustawisha Kilimo, chini ya kilimo cha mfumo wa kijamaa ilifikia hatua tukala unga wa Yanga toka kwa mabepari wa kimarekani, hata wachina wameachana na kilimo cha kijamaa, Ubepari na soko huria ndo mpango mzima, Tembeleeni botswana muone kilimi kilivyostawi!
songoro,kumbuka hawa hawawezi kulima kwa manufaa yetu, kilimo kwanza kimeshindwa,kweli serikali inafanya juhudi za dhati kumkombo mkulima. hembu fuatilia habari za kigoda cha mwalimu kilichomalizika juzi