Rais Magufuli mtizame kwa makini sana Mwigulu Nchemba

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
 
Nakuomba mh rais. Mtizame kwa jicho la huruma mwigulu nchemba.kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa...usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania.please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Simbachawene hana ndoto za Urais
 
Inawezekana wewe ndiye Mwigulu mwenyewe wewe! Khaaaaa!
 
Uyo akae tu alikuwa waziri wa mambo ya ndani kashindwa kujenga hata kituo cha polisi jimboni kwake kituo cha ajabu ajabu tu akae atulie
 
Back
Top Bottom