Mh. Rais Magufuli, hauyaoni haya Majipu?

tajirijasiri

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
2,863
3,851
Escrow IPTL??
Meli Chakavu ya 1970s kwa Bilioni 8??
Zuio fake la Umeya??
Uuzwaji nyumba za serikali??
EPA??
Richmond/Dowans??
Meremeta??
Kagoda??
Kiwira??
Mabehewa fake??
Au mpaka yajitumbue yenyewe??
Haya sasa ndio Majipu haswaa, vingine vyooote vichunusi Tu.
Nitaendelea kukukumbusha Rais wangu.
 
Escrow IPTL??
Meli Chakavu ya 1970s kwa Bilioni 8??
Zuio fake la Umeya??
Uuzwaji nyumba za serikali??
EPA??
Richmond/Dowans??
Meremeta??
Kagoda??
Kiwira??
Mabehewa fake??
Au mpaka yajitumbue yenyewe??
Haya sasa ndio Majipu haswaa, vingine vyooote vichunusi Tu.
Nitaendelea kukukumbusha Rais wangu.
Unasubiri meli Airport.....
 
Inavyoelekea Magufuli ana tafsiri yake ya "majipu" na hamaanishi ufisadi kwa ujumla wake. Utumbuaji "majipu" wa Magufuli unalenga tu watendaji wa baadhi ya taasisi za umma ila wanasiasa wahaguswi! Kwa mfano, CAG alithibitisha kuwa account ya Escrow ilikuwa na fedha za umma (za Tanesco na kodi ya serikali) hivyo kuzilipa zote kwa IPTL ulikuwa ni wizi wa mali ya umma. CAG pia alithibitisha wizi wa mabilioni ya fedha katika miradi ya barabara. Kwa Magufuli haya yote ni poa tu! Katiba ya sasa inampa rais madaraka makubwa kiasi cha kumruhusu kufanya mambo kwa utashi wake tu jambo ambalo ni hatari kwa mustakabali wa taifa. Haya mazingira yanamfanya Magufuli awe kiongozi anayeweka maslahi yake ya kisiasa mbele (partisan) kuliko yale ya taifa (stateman). Ufisadi utatokomezwa tu kwa kuweka taasisi imara na huru pamoja na mifumo thabiti ya kuudhibiti. Hili CCM hawalitaki na ndio maana walikataa Rasimu ya Warioba.
 
Back
Top Bottom