Rais wako si Lowassa ndiyo unampa huu ushauri.Kumejitokeza tabia mbaya katika Jamii ya watu kuweka fedha katika Benki badala ya kuziwekeza na kuongeza ajira....hawa ni wahujumu wa uchumi...Tunaomba mh Rais uwanyang'anye fedha zao utugawie bure
ni wahujumu uchumi
- Hata mimi naunga mkono,pia wamasai wamejaza ngombe porini wanasababisha bei ya nyama iwe juu pia wanyanganywe hizo ngombe
Mhh! Ama kweli JPM anayokazi mwaka huu. Tumuombee.Kumejitokeza tabia mbaya katika Jamii ya watu kuweka fedha katika Benki badala ya kuziwekeza na kuongeza ajira....hawa ni wahujumu wa uchumi...Tunaomba mh Rais uwanyang'anye fedha zao utugawie bure
Mkuu umechemsha mbaya. Ungesema wameficha majumbani mwao, lakini benki maana yake zipo kwenye mzunguko!Kumejitokeza tabia mbaya katika Jamii ya watu kuweka fedha katika Benki badala ya kuziwekeza na kuongeza ajira....hawa ni wahujumu wa uchumi...Tunaomba mh Rais uwanyang'anye fedha zao utugawie bure
Yaani hawa watoto wa shule eti pesa imefichwa benki.Hivi shule zimeishafunguliwa???
Hahahaa mkuu umemjibu vizuri mleta mada..pumba hujibiwa kwa pumba...Pia diamond ana nguo nyingi wakati mtaani tunavaa kaniki,naye ni mhujumu tu na anyanganywe