Mh. Rais hongera kwa kuvunja rekodi hizi, Bado moja tu!

RAIS MAKUFULI AMEVUNJA RECORD KAMA ZIFUATAZO; 1) AMELETA HESHIMA MAOFISINI NA KWENYE MAHOSPITALI SASA HIVI WATU WANAHESHIMIWA ( (2) AMEJENGA MIUNDO MBINU KAMA FLYOVER TREIN YA MWENDO KASI MABARABARA MADARAJA (3) ELIMU BURE KWA WOTE (4) SHULE KUWA NA MADESKI SIO KUKAA CHINI (5) KUSEMA UKWELI NA KUWATUMBUA WALAJI HADHARANI (6) KUWASIKILIZA WANYONGE PINDI ANAPOKUWA KWENYE ZIARA ZAKE (7) KAJENGA HOSPITAL KILA SEHEMU KILA KIJIJI (8) HAJAACHA KUMUONDOA WAZIRI MVIVU AU FISADI AU SIO MKWELI HATA KAMA NI RAFIKI YAKE ANAMFUKUZA SIO KAMA AWAMU ZILIZOPITA (9) KAWABANA MAFISADI WAFANYA BIASHARA WANAO LETA CONTAINA 6 NA KULIPIA 1 TU (10) KAWAKAMATA NA KUWABANA WAUZA UNGA WANAOHARIBU VIJANA WETU NA KUWA MAZEZETA (11) KAZUIA NA KUWABANA WAFANYAKAZI SERIKALINI NA MASHIRIKA YA UMMA KWA KUIIBIA SERIKALI MAMILLION (12) KAWEZA KUNUNUA NDEGE NA KUIMARISHA USAFIRI NCHINI (13) KAIMARISHA USAFIRI ZIWA VICTORIA (14) KAJENGA UZIO TANZANITE WIZI UMEPUNGUA (15) KAWEKA MIKAKATI YA UCHIMBAJI WA MADINI NA UUZWAJI WAKE (16) KAWEZA KUHAMISHA DODOMA KUWA MJI MKUU (17) KAWEKA MIKAKATI YA ARDHI NA HATI KUPATA BILA TABU KWA MKOA WA DARESSALAAM ila mikoani kama mwanza bado hawajafuata amri ya rais kuhusu hati wanachelewesha na mikoa mingine ila siku zao zinakaribia (18) UWANJA MPYA WA NDEGE WA DAR (19) WANANCHI KUWA NA VITAMBULISHO VYA TAIFA (20) PASSPORT ZA ELECTRONIC (21) KUPUNGUZA KODI YA MAJENGO KWA ELFU 10 ingawa ili nalo tra hawataki kumsikia au kutekeleza agizo la rais ukweli ni mengi sana kafanya mazuri na kavunja record
 
RAIS MAKUFULI AMEVUNJA RECORD KAMA ZIFUATAZO; 1) AMELETA HESHIMA MAOFISINI NA KWENYE MAHOSPITALI SASA HIVI WATU WANAHESHIMIWA ( (2) AMEJENGA MIUNDO MBINU KAMA FLYOVER TREIN YA MWENDO KASI MABARABARA MADARAJA (3) ELIMU BURE KWA WOTE (4) SHULE KUWA NA MADESKI SIO KUKAA CHINI (5) KUSEMA UKWELI NA KUWATUMBUA WALAJI HADHARANI (6) KUWASIKILIZA WANYONGE PINDI ANAPOKUWA KWENYE ZIARA ZAKE (7) KAJENGA HOSPITAL KILA SEHEMU KILA KIJIJI (8) HAJAACHA KUMUONDOA WAZIRI MVIVU AU FISADI AU SIO MKWELI HATA KAMA NI RAFIKI YAKE ANAMFUKUZA SIO KAMA AWAMU ZILIZOPITA (9) KAWABANA MAFISADI WAFANYA BIASHARA WANAO LETA CONTAINA 6 NA KULIPIA 1 TU (10) KAWAKAMATA NA KUWABANA WAUZA UNGA WANAOHARIBU VIJANA WETU NA KUWA MAZEZETA (11) KAZUIA NA KUWABANA WAFANYAKAZI SERIKALINI NA MASHIRIKA YA UMMA KWA KUIIBIA SERIKALI MAMILLION (12) KAWEZA KUNUNUA NDEGE NA KUIMARISHA USAFIRI NCHINI (13) KAIMARISHA USAFIRI ZIWA VICTORIA (14) KAJENGA UZIO TANZANITE WIZI UMEPUNGUA (15) KAWEKA MIKAKATI YA UCHIMBAJI WA MADINI NA UUZWAJI WAKE (16) KAWEZA KUHAMISHA DODOMA KUWA MJI MKUU (17) KAWEKA MIKAKATI YA ARDHI NA HATI KUPATA BILA TABU KWA MKOA WA DARESSALAAM ila mikoani kama mwanza bado hawajafuata amri ya rais kuhusu hati wanachelewesha na mikoa mingine ila siku zao zinakaribia (18) UWANJA MPYA WA NDEGE WA DAR; ukweli ni mengi sana kafanya mazuri na kavunja record
Tumia herufi ndogo tu utaeleweka.
 
RAIS MAKUFULI AMEVUNJA RECORD KAMA ZIFUATAZO; 1) AMELETA HESHIMA MAOFISINI NA KWENYE MAHOSPITALI SASA HIVI WATU WANAHESHIMIWA ( (2) AMEJENGA MIUNDO MBINU KAMA FLYOVER TREIN YA MWENDO KASI MABARABARA MADARAJA (3) ELIMU BURE KWA WOTE (4) SHULE KUWA NA MADESKI SIO KUKAA CHINI (5) KUSEMA UKWELI NA KUWATUMBUA WALAJI HADHARANI (6) KUWASIKILIZA WANYONGE PINDI ANAPOKUWA KWENYE ZIARA ZAKE (7) KAJENGA HOSPITAL KILA SEHEMU KILA KIJIJI (8) HAJAACHA KUMUONDOA WAZIRI MVIVU AU FISADI AU SIO MKWELI HATA KAMA NI RAFIKI YAKE ANAMFUKUZA SIO KAMA AWAMU ZILIZOPITA (9) KAWABANA MAFISADI WAFANYA BIASHARA WANAO LETA CONTAINA 6 NA KULIPIA 1 TU (10) KAWAKAMATA NA KUWABANA WAUZA UNGA WANAOHARIBU VIJANA WETU NA KUWA MAZEZETA (11) KAZUIA NA KUWABANA WAFANYAKAZI SERIKALINI NA MASHIRIKA YA UMMA KWA KUIIBIA SERIKALI MAMILLION (12) KAWEZA KUNUNUA NDEGE NA KUIMARISHA USAFIRI NCHINI (13) KAIMARISHA USAFIRI ZIWA VICTORIA (14) KAJENGA UZIO TANZANITE WIZI UMEPUNGUA (15) KAWEKA MIKAKATI YA UCHIMBAJI WA MADINI NA UUZWAJI WAKE (16) KAWEZA KUHAMISHA DODOMA KUWA MJI MKUU (17) KAWEKA MIKAKATI YA ARDHI NA HATI KUPATA BILA TABU KWA MKOA WA DARESSALAAM ila mikoani kama mwanza bado hawajafuata amri ya rais kuhusu hati wanachelewesha na mikoa mingine ila siku zao zinakaribia (18) UWANJA MPYA WA NDEGE WA DAR (19) WANANCHI KUWA NA VITAMBULISHO VYA TAIFA (20) PASSPORT ZA ELECTRONIC (21) KUPUNGUZA KODI YA MAJENGO KWA ELFU 10 ingawa ili nalo tra hawataki kumsikia au kutekeleza agizo la rais ukweli ni mengi sana kafanya mazuri na kavunja record
Mi nimekumbuka moja nalo ni kujenga shule za kata.
 
tatizo lako hujasoma shule. akili yako kamongo
Mimi nisome shule inisaidie nini?Mimi nasoma elimu ya dini na magazeti lakini weye uliyesoma "shule" kuandika kwa kanuni kunakupiga chenga.Endelea kuandika herufi zako kubwa utadhani unamuandikia hawara yako kipofu waraka wa kumuomba msamaha kwa kujikojolea kitandani.
 
RAIS MAKUFULI AMEVUNJA RECORD KAMA ZIFUATAZO; 1) AMELETA HESHIMA MAOFISINI NA KWENYE MAHOSPITALI SASA HIVI WATU WANAHESHIMIWA ( (2) AMEJENGA MIUNDO MBINU KAMA FLYOVER TREIN YA MWENDO KASI MABARABARA MADARAJA (3) ELIMU BURE KWA WOTE (4) SHULE KUWA NA MADESKI SIO KUKAA CHINI (5) KUSEMA UKWELI NA KUWATUMBUA WALAJI HADHARANI (6) KUWASIKILIZA WANYONGE PINDI ANAPOKUWA KWENYE ZIARA ZAKE (7) KAJENGA HOSPITAL KILA SEHEMU KILA KIJIJI (8) HAJAACHA KUMUONDOA WAZIRI MVIVU AU FISADI AU SIO MKWELI HATA KAMA NI RAFIKI YAKE ANAMFUKUZA SIO KAMA AWAMU ZILIZOPITA (9) KAWABANA MAFISADI WAFANYA BIASHARA WANAO LETA CONTAINA 6 NA KULIPIA 1 TU (10) KAWAKAMATA NA KUWABANA WAUZA UNGA WANAOHARIBU VIJANA WETU NA KUWA MAZEZETA (11) KAZUIA NA KUWABANA WAFANYAKAZI SERIKALINI NA MASHIRIKA YA UMMA KWA KUIIBIA SERIKALI MAMILLION (12) KAWEZA KUNUNUA NDEGE NA KUIMARISHA USAFIRI NCHINI (13) KAIMARISHA USAFIRI ZIWA VICTORIA (14) KAJENGA UZIO TANZANITE WIZI UMEPUNGUA (15) KAWEKA MIKAKATI YA UCHIMBAJI WA MADINI NA UUZWAJI WAKE (16) KAWEZA KUHAMISHA DODOMA KUWA MJI MKUU (17) KAWEKA MIKAKATI YA ARDHI NA HATI KUPATA BILA TABU KWA MKOA WA DARESSALAAM ila mikoani kama mwanza bado hawajafuata amri ya rais kuhusu hati wanachelewesha na mikoa mingine ila siku zao zinakaribia (18) UWANJA MPYA WA NDEGE WA DAR (19) WANANCHI KUWA NA VITAMBULISHO VYA TAIFA (20) PASSPORT ZA ELECTRONIC (21) KUPUNGUZA KODI YA MAJENGO KWA ELFU 10 ingawa ili nalo tra hawataki kumsikia au kutekeleza agizo la rais ukweli ni mengi sana kafanya mazuri na kavunja record
Nawewe umevunja rekodi kutumia herufi kubwa
 
Jana nilisinzia kanisani ghafla nikasikia padre anasema mmoja ya wanafunzi wake alipofika pale akakuta jiwe limeviringishwa na kuwekwa pembeni ! Nikasimama nikasema naota au kweli ? Padre akaniambia wewe ulilala nini ? Nikaondoka kimyakimya
 
Mkuu katika kipindi kifupi ameweza kutuonyesha dira kua tukiamua kubadilika na kupata maendeleo ya taifa letu bila kuwategemea mabeberu na wanyonyaji inawezekana, miradi mikubwa ya maendeleo imefanyika katika kipindi kifupi cha utawala wake, kuna kasi kubwa ya ujenzi wa viwanda kila kona ya nchi, wafanyakazi na watumishi wa serikali pia wameanza kuwajibika tofauti na awamu zilizopita, muhimu ni wananchi wote tuwe wazalendo kuhakikisha nchi inasonga mbele.
Je miradi hiyo amekamilisha vyema
 
Back
Top Bottom