Mh. Rais alimaanisha nini kusema wauaji wa Kibiti hawatapita?

pepsin

JF-Expert Member
Apr 23, 2015
3,465
6,109
Sijamwelewa Mh. Rais kuhusu kauli yake kuhusu wauaji. Mh rais amesema HAWATAPITA, tena amerudia mara kadhaa.

Hii kauli inaonesha rais anajua hawa wauaji wanataka kupita, ambacho sijaelewa ni kuwa wanataka kupita waende wapi? Wanapita waende zao au wanapita wakakae sehemu?

Kwanza ni akina nani hawa wanaotaka kupita? Maswali ni mengi!!

 
Mkulu "hawatapita, nasema hawatapita, never!
Wanafanya vitendo vya uhuni uhuni"

Mkulu hapa kuna jambo limefichikia aiseeh.
 
Mkuu wa nchi anatoa vitisho km hivi kwa ukali kabisa....siku moja baadae watu wanatenda yaleyale. nafikiri ilikuwa kumpelekea ujumbe kwamba wapo na nguvu zao zipo vilevile. ila shaka kuna wanachotaka kusikia tofauti na mikwara na bahati mbaya hakuna kiongozi yeyote aliyeng'amua hilo...nina hofu siku moja tunaweza kusikia yamewakuta viongozi wakubwa haya mambo!!!
 
Mkuu, Rais alimaanisha kuwa hao wauwaji hawatafanikiwa kutamba watakavyo. Kupita ni kufaulu/kutamba
 
juzi katoa vitisho jana watu wamemjibu kwamba hatukuogopi wala nini, kisha wakapiga tukio.
Kwa maana nyepesi wamemzarau.
 


nadhan wakianza na heads itakua vizur maana saiv hawapo serious kutatua tatizo....wanaendeleza siAsa tu wakat watu wanakufa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…