Mh Rage ndani ya Tabora

Mh Rage ndani ya Tabora

Hakuna mtu wa kumngoa rage tabora. Nadhani wanasiasa wa conservative union wanahitaji kutathmini madhara ya siasa za uongo na kupakaza chuki kama kweli ni mtaji wa kisiasa au ticketi ya kuondokea kwenye ulingo wa siasa. Tusubiri majibu ya serikali baada ya vigogo wa hiki chama kutajwa na wafanya vurugu mtwara kuwa walikuwa wanawapa maelekezo. mmwaisoba kwann actoke? lage tbr kwasasa hawampendi co kama zamani!
 
Hakuna mtu wa kumngoa rage tabora. Nadhani wanasiasa wa conservative union wanahitaji kutathmini madhara ya siasa za uongo na kupakaza chuki kama kweli ni mtaji wa kisiasa au ticketi ya kuondokea kwenye ulingo wa siasa. Tusubiri majibu ya serikali baada ya vigogo wa hiki chama kutajwa na wafanya vurugu mtwara kuwa walikuwa wanawapa maelekezo. Kuna haja ya kutoa mafunzo maalum kwa watu wenye elimu za kati na muda mfupi ambao hawakusoma vizuri na wanatamaa ya kuongoza nchi hii watatuingiza vitani pasipo sababu.

Hivi unaijua Tabora mkuu au unaongea tu kwakuwa umepewa posho Lumumba? Kuna Mbunge Alikuwa anaitwa Prof Henry Mgombelo ambaye alikuwa mbunge mwaka 2000 mpaka 2005 yeye mpaka alilia Bungeni kutetea maslahi ya mkoa baada ya wajanja wachache kujichotea fedha za MMEM mkoa wa Tabora na baadae hao hao watu wakamuua Diwani wa Kata ya Kanyeye. Lakini na Kulia kwake mwaka 2005 alidondokea pua kwenye uchaguzi wa ndani wa ccm akashinda Marehemu Siraju Kaboyonga. Yaani kama anakutuma uje umpigie vuvuzela humu we mwambie tu imeshindikana. Tabora tunamuhesabia mwaka mmoja na miezi mi5 anawapisha wengine.
 
huyu Mzee amefanya nikonde kwa jinsi alivyoiboronga Simba na nikakosa amani mtaani mpaka sasa narudi usiku nyumbani
 
hana ishu tabora wanamlia kama haamini asubiri next election, pili huyu jamaa ni mfanyabiashara he is not a leader, tatu ukitaka kujua ni mjanja2 muulize hizo piki2 alizotoa zitawasaidia nn wanamboka, atawanunulia wese? mwisho lengo la kugawa pesa ni nn?
Kweli mkuu ugawaji wa pesa hapa lazima uhojiwe!
 
Hakuna mtu wa kumngoa rage tabora. Nadhani wanasiasa wa conservative union wanahitaji kutathmini madhara ya siasa za uongo na kupakaza chuki kama kweli ni mtaji wa kisiasa au ticketi ya kuondokea kwenye ulingo wa siasa. Tusubiri majibu ya serikali baada ya vigogo wa hiki chama kutajwa na wafanya vurugu mtwara kuwa walikuwa wanawapa maelekezo. Kuna haja ya kutoa mafunzo maalum kwa watu wenye elimu za kati na muda mfupi ambao hawakusoma vizuri na wanatamaa ya kuongoza nchi hii watatuingiza vitani pasipo sababu.

Mkuu Guest

Big changes for Tabora are coming in 2013 whether you like or not, because this is not an optional...is inevetable!!!.......and what's your problem exactly? Mbona bado una fikra za mwaka 1980!!??......Vita? Kivipi?
 
Rage hasa makazi yake ni wapi?Huyu kilaza Kabla ya kuwa mbunge alikuwa anashinda sana pale kwenye club ya saigon wanachama wengi wa simba wanajua makazi yake ni ilala.

Anakaa city centre directly opposite na Wizara ya nishati na madini.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
YAN NAMCHUKIA RAGE SANA KWA KUTUFANYA WANA SIMBA KAMA WATOTO WADOGO,ametuharibia timu yetu hadi tunamkumbuka mzee Dalali,twite,yondan,okwi wote wameondoka kwa sabb yake...Lakin kuhusu Tabora yan naifananishaga na jimbo la Moro mjini yan miaka yote ni majimbo ya majaribio kwa wale wanaojifunza siasa...kazi kwao.!
 
Back
Top Bottom