Mtanzania haswa JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 663 Reaction score 101 Jun 5, 2011 #1 wana jf... nipo concern na waziri mkuu wangu mh. pinda mtoto wa mkurima, yu wapi huyu mzee ni siku nyingi simsikii nimepata habari zisizo rasmi kuwa alienda kimatibabu nje ya nchi, vp hari yake?
wana jf... nipo concern na waziri mkuu wangu mh. pinda mtoto wa mkurima, yu wapi huyu mzee ni siku nyingi simsikii nimepata habari zisizo rasmi kuwa alienda kimatibabu nje ya nchi, vp hari yake?
BABA JUNJO JF-Expert Member Joined Nov 9, 2010 Posts 241 Reaction score 14 Jun 5, 2011 #2 Yupo bwana nilimwona jana. utamwona Bungeni kuanzia Ijumaa waziri mkuu wako
rosemarie JF-Expert Member Joined Mar 22, 2011 Posts 6,887 Reaction score 3,446 Jun 5, 2011 #3 kaenda kutibiwa ngoma