Mh. Ndalichako - anzisha kipindi cha 'live' masomo ya Sayansi; replace bunge

R.B

JF-Expert Member
May 10, 2012
6,296
2,575
Hii ni muhimu kwa wapenda maendleo, ni wakati wa wizara ya elimu kuomba kila shule ya sekondari iwe na TV, fungu litengwe kila wilaya. Ikifika saa 9:30- 10:00 tunajiunga kama linavyyojiunga bunge;

Naonge hivi kwa sababu, mheshiwa Lowassa alisema;

  • Elimu

  • Elimu

  • Elimu

  • Elimu
Na waziri ni muumini mzuri wa elimu.Ni wakati wa kupeleka hoja binafsi masomo ya sayansi kama;

Biology

Chemistry

Physics

Yaunganishwe yafundishwe nchi nzima kupitia TBC ukizingatia kuna solar sionagi changamoto ya umeme.Wanafunzi wengi wanafail sayansi na nchi aiwezi endelea bila sayansi, njia ya kuanzia ni kurusha live.

Ni matumaini yangu ombi langu litakubaliwa na kujibiwa vema

Cc; Katibu wa wizara

TCRA

Waziri wa elimu
 
Baada ya Masomo hiyo TV inatumika kufanya nn,Au ndo anaondoka nayo Mwalimu mkuu???Na hivi kweli Unayajua Masomo ya Sayansi mleta mada???arts unaweza fundisha hata kwa redio siyo sayansi..tutakuwa tunaua mafunzo kwa vitendo.
 
HII NI MUHIMU KWA WAPENDA MAENDLEO

NI WAKATI WA WIZARA YA ELIMU; KUOMBA KILA SHULE YA SEKONDARI IWE NA TV , FUNGU LITENGWE KILA WILAYA. A IKIFIKA SAA 9:30- 10:00 TUNAJIUNGA KAMA LINAVYYOJIUNGA BUNGE;

NAONGE HIVI KWA SABABU ; MHESHIWA LOWASA ; ALISEMA
  • ELIMU
  • ELIMU
  • ELIMU
  • ELIMU
NA WAZIRI NI MUUMINI MZURI WA ELIMU.
NI WAKATI WA KUPELEKA HOJA BINAFSI MASOMO YA SAYANSI KAMA ;
BIOLOGY
CHEMISTRY
PHYSICS

YAUNGANISHWE YAFUNDISHWE NCHI NZIMA;KUPITIA TBC ;
UKIZINGATIA KUNA SOLAR..............SIONI CHANGAMOTO YA UMEME

WANAFUNZI WENGI WANAFAIL SAYANSI NA NCHI AIWEZI ENDELEA BILA SAYANSI:
NJIA YA KUANZIA NI KURUSHA LIVE

NI MATUMAINI YANGU OMBI LANGU LITAKUBALIWA NA KUJIBIWA VEMA

CC; KATIBU WA WIZARA
TCRA
WAZIRI WA ELIMU
Wewe umeambiwa tatizo sio LIVE bali PESA; Sasa hao WALIMU watafundisha BURE kupitia TBC au?
 
Vipindi hivi pia vinaweza kurekodiwa na DVDs kusambazwa kwenye mashule yote yenye uhaba wa walimu.
 
Baada ya Masomo hiyo TV inatumika kufanya nn,Au ndo anaondoka nayo Mwalimu mkuu???Na hivi kweli Unayajua Masomo ya Sayansi mleta mada???arts unaweza fundisha hata kwa redio siyo sayansi..tutakuwa tunaua mafunzo kwa vitendo.
TV NI YA SHULE BAADA YA KIPINDI INAZIMWA- KWANI BAADA YA BUNGE TV UNAONDOKA NAYO - HAKUNA SELF YA KUWEKEA .

NAYAJUA NA NI ENGINEER ;
KIPINDI CHA PRCTICAL ANAFUNDISHA PRCTICAL ZINAZOWEZEKANA
MI NIMESEMA TV SIO RADIO
 
Hii ni muhimu kwa wapenda maendleo, ni wakati wa wizara ya elimu kuomba kila shule ya sekondari iwe na TV, fungu litengwe kila wilaya. Ikifika saa 9:30- 10:00 tunajiunga kama linavyyojiunga bunge;

Naonge hivi kwa sababu, mheshiwa Lowassa alisema;

  • Elimu

  • Elimu

  • Elimu

  • Elimu
Na waziri ni muumini mzuri wa elimu.Ni wakati wa kupeleka hoja binafsi masomo ya sayansi kama;

Biology

Chemistry

Physics

Yaunganishwe yafundishwe nchi nzima kupitia TBC ukizingatia kuna solar sionagi changamoto ya umeme.Wanafunzi wengi wanafail sayansi na nchi aiwezi endelea bila sayansi, njia ya kuanzia ni kurusha live.

Ni matumaini yangu ombi langu litakubaliwa na kujibiwa vema

Cc; Katibu wa wizara

TCRA

Waziri wa elimu

bangi na viroba ni vitu hatari kwa afya yako
 
Hana ubavu huo..yeye akili yake ni kuwachonganisha marafiki wa prof mchome na rais..!! huyu mama ana jeuri sana na visasi ambavyo vitamuondolea heshima soo. Wenzako wanainuka walipojikwaa bado tu unaleta mambo yako..Rais amempa dhamana kubwa ya kuendeleza elimu but sio dhamana ya visasi..
 
Hizo ni siasa .......kwa Mfumo wa technology TBC wanao uwezo wa kuwa na channels

TBC TAIFA
TBC INTERNATIONS
TBC SCIENCE ( Maalum kwa Ajili ya Elimu kuanzia nursery hadi Chuo kikuu )
Tbc documentary and history
Tbc Bunge live
Tbc sinema
Tbc biashara

Azam wameanza Juzi na wana channels
 
Back
Top Bottom