Mh. Nchambi mbunge wa CCM amdhalilisha Mh. Salome Makamba. Spika Ndugai hakuchukua hatua. Je, sababu ni mfumo dume, au chuki za itikadi za vyama?

Mambo ya Bungeni yanaweza kumalizwa vyema huko huko Bungeni. Kwani Kambi ya upande wa pili haikuchukua hatua zinazostahili, hata kumwandikia Spika barua rasmi ya kulalamika?

..Spika ndiyo alikuwa anaongoza kikao ambacho mbunge wa ccm alimtusi mbunge wa viti maalum wa cdm.

..Kwa hiyo Spika, kwa kuwa anafahamu kanuni zinazoongoza mijadala ya bunge, alitakiwa achukue hatua muda huohuo bila kusubiri kupelekewa malalamiko.

..Lakini jambo baya zaidi, Mh.Musukuma naye alisimama na kuunga mkono kauli ya kudhalilisha iliyotolewa na Mh.Nchambi, bado Spika hakuchukua hatua.

..Sote tuna kumbukumbu ya jinsi Spika Ndugai alivyo mwepesi kuwaadhibu wabunge wa cdm kwa sababu mbalimbali.

..Sidhani kama kuna anayeamini kwamba Spika Ndugai asingetoa adhabu kali, kama kauli hizo matusi na udhalilishaji zingetolewa na mbunge wa cdm.

..Kwa hiyo hapo kuna mambo mawili. Kwanza kuna MFUMO DUME. Ule ujasiri tu wa mbunge kutoa kauli kama ili kwa mwanamke inathibitisha uwepo wa mfumo dume na UDHALILISHAJI.

..Pili, kuna suala la DOUBLE STANDARDS. Kwamba Spika huadhibu kambi ya upinzani, na wabunge wa ccm wako juu ya sheria.

Cc tindo, Nguruvi3
 
JokaKuu Mkuu hili Bunge la Ndugai lolote linaweza kutokea

Spika hawezi kukemea Mbunge wa CCM anaogopa jina lisije katwa kuelekea uchaguzi.

Spika, kwake muhimu ni kulinda CCM , amesahau rangi za joho lake.
 
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele
WEWE HUENDA ULIKUWA TAKE AWAY KULE MOMBASA
 
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Pumbav.
 
..Spika ndiyo alikuwa anaongoza kikao ambacho mbunge wa ccm alimtusi mbunge wa viti maalum wa cdm.

..Kwa hiyo Spika, kwa kuwa anafahamu kanuni zinazoongoza mijadala ya bunge, alitakiwa achukue hatua muda huohuo bila kusubiri kupelekewa malalamiko.

..Lakini jambo baya zaidi, Mh.Musukuma naye alisimama na kuunga mkono kauli ya kudhalilisha iliyotolewa na Mh.Nchambi, bado Spika hakuchukua hatua.

..Sote tuna kumbukumbu ya jinsi Spika Ndugai alivyo mwepesi kuwaadhibu wabunge wa cdm kwa sababu mbalimbali.

..Sidhani kama kuna anayeamini kwamba Spika Ndugai asingetoa adhabu kali, kama kauli hizo matusi na udhalilishaji zingetolewa na mbunge wa cdm.

..Kwa hiyo hapo kuna mambo mawili. Kwanza kuna MFUMO DUME. Ule ujasiri tu wa mbunge kutoa kauli kama ili kwa mwanamke inathibitisha uwepo wa mfumo dume na UDHALILISHAJI.

..Pili, kuna suala la DOUBLE STANDARDS. Kwamba Spika huadhibu kambi ya upinzani, na wabunge wa ccm wako juu ya sheria.

Cc tindo, Nguruvi3

Mkuu kwa sasa chini ya utawala wa Magufuli, ni jambo la kawaida kabisa mpinzani hasa wa cdm kudhalilishwa na vyombo vya kimamlaka pamoja na viongozi wake. Hii ni katika kukidhi ile nongwa na chuki ya wazi ya Magufuli dhidi ya wapinzani, hasa cdm. Sasa hivi ni fahari kubwa sana kwa kiongozi yoyote, ikiwemo huyo Ndugai nk kusimamia udhalilishwaji wa viongozi na wanachama wa cdm. Na unapofanya hivyo thamani yako inapanda mbele ya rais! Fuatillia mwenendo wa mahakama, bunge, vyombo vyote vya dola na taasisi nyingine za kimamlaka, pindi wanapokutana na wanacdm, ni lazima wahakikishe wanawafanyia fitina, unyama na ukatili wote ili kutimiza ahadi ya rais kuufuta upinzani hasa hasa cdm.
 
..naomba wachangiaji mjiepushe na kutumia lugha zisizofaa, na za kudhalilisha.
 
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Huu ni utetezi au umeamua kuanika ujuha wako?
 
  • Dislike
Reactions: UCD
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Hakuna Rastafari mpumbavu Kama wewe, msitukanishe imani za watu kwa ujinga wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.

Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.

Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.

Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.

Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.

Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.

Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59

cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Kwa ukatili wa spika Ndugai na CCM wako tayari hata kuhakikisha wapinzani wote wanauliwa.

Awamu ya tano imenifundisha kuwa unyama unaweza kuwa mfumo rasmi wa siasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya Bungeni yanaweza kumalizwa vyema huko huko Bungeni. Kwani Kambi ya upande wa pili haikuchukua hatua zinazostahili, hata kumwandikia Spika barua rasmi ya kulalamika?

Spika ni sehemu ya huo ushenzi unaondelea huko bungeni, ndio maana unaona hao wabunge wanaweza kumdhalilisha mbunge wa upinzani na ikaonekana ni sawa kabisa. Yaani kinachofanyika humo bungeni, ni makubaliano rasmi ya wanaccm wote kuwadhihaki wabunge wa upinzani ili kumfurahisha mwenyekiti wao, na kuboresha nafasi zako za kimadaraka.
 
Hivi apo ni wapi? Hivi wabongo mnapanga mstari kweli eti kumchagua mfanyabiashara ya utumwa?
 
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature

Kichwa panzi
 
Imani inatuambia kuna shetani mkuu na wadogo wadogo lakini hawa wote ni mashetani tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom