Mh. Nchambi mbunge wa CCM amdhalilisha Mh. Salome Makamba. Spika Ndugai hakuchukua hatua. Je, sababu ni mfumo dume, au chuki za itikadi za vyama?

JokaKuu

Platinum Member
Jul 31, 2006
30,269
54,664
Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.

Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.

Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.

Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.

Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.

Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.

Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59

cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
 
..hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.

..kulitokea kupishana hoja kati ya Mh.Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.

..hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh.Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh.Makamba ni mbunge wa viti maalum.

..katika kutetea hoja yake Mh.Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh.Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.

..Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.

..Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.

..Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59....

cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Umeandika kijinga sana !
 
mkuu toa hayo maneno ya JAH, ,,,, hawa watu sio wajinga kama wewe aisee
 
Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.

Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.

Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.

Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.

Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.

Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.

Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59

cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3

Mambo ya Bungeni yanaweza kumalizwa vyema huko huko Bungeni. Kwani Kambi ya upande wa pili haikuchukua hatua zinazostahili, hata kumwandikia Spika barua rasmi ya kulalamika?
 
Unaweza dhani mimi mjinga kumbe ni wewe..siyo kila mawazo yako yawe sahihi
mkuu toa hayo maneno ya JAH, ,,,, hawa watu sio wajinga kama wewe aisee

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.

Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.

Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.

Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.

Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.

Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.

Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59

cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Nchambi mwizi tu, alichokisema Mh. Salome ni sahihi, Nchambi alifanya wizi mkubwa ktk Mgodi wa Stamigold Biharamulo kwa kushirikiana na Wafanyakazi wezi kama yeye na kusababisha hasara na madeni makubwa kwa kampuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Sijawahi kuona Rastafarian mpumbavu namna hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom