Mh. Nchambi mbunge wa CCM amdhalilisha Mh. Salome Makamba. Spika Ndugai hakuchukua hatua. Je, sababu ni mfumo dume, au chuki za itikadi za vyama?

Kiasi watu wanalumbana huko mitaani maiti zinazidi kulundikana
 
Hii imetokea wakati wa mjadala kuhusu bajeti ya Wizara ya Madini.

Kulitokea kupishana hoja kati ya Mh. Suleiman Nchambi na Mh.Salome Makamba.

Hawa wote ni wabunge toka mkoa wa Shinyanga. Mh. Nchambi na mbunge wa Kishapu, na Mh. Makamba ni mbunge wa viti maalum.

Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mumewe.

Spika Ndugai ndiye aliyekuwa akiongoza kikao, lakini ktk hali ya kushangaza hakuchukua hatua yoyote ile.

Binafsi siamini kama Mbunge yeyote wa CDM angetoa lugha ya namna hiyo angeachwa bila kuchukuliwa hatua na mwenyekiti wa kikao, Naibu Spika, au Spika.

Unaweza kusikiliza hapa chini kuanzia dakika 4:59

cc Salary Slip , Erythrocyte , Kalamu1 , Nguruvi3
Point yako ni ipi?

Unataka usaidiwe nini

Nyoosha maelezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kutetea hoja yake Mh. Suleiman Nchambi alimdhalilisha Mh. Salome Makamba kwa kudai kuwa almasi iliyopatika huko Kishapu inatosha kuvaliwa ktk kiuno cha Mh.Makamba na akamburudisha mume
Kashfa ipo wapi hapo?
 
nchambi mabasi yake alimaliza watu kipindi hicho mpaka akaamua kuyabadilisha jina na kuyaita Mombasa Raha Makafara yanamtafuna huyo Roho za watu zinamulilia
 
Siyo kila kitu cha kujadili,fanya kazi kwa faida ya watoto wako acha umbeya na uswahili mwingi,unafatilia ya watu kama waliwahi kua wapenzi wakaachana unajuaje?unajuaje kama huyo Salome amewahi kumdhalilisha Nchambi bila macho yako kua yameona?kumbuka wote hao wanaishi Shinyanga mjini na hiyo ni tosha kukufanya wewe ufumbe kinywa chako uache kelele

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Wewe umetoa maoni ya kijinga sana. Kama huna cha kuongea si ukae kimya
 
Kashfa ipo wapi hapo?
HUyo aliyesemwa avae almasi kiunoni nadhani ni mama wa watu. Sasa ukitaka kuona kashfa kama ipo au haipo, fikiria kuwa mtu anaemsema hivyo ni mama yako, avae almasi au shanga kiunoni ili amfurahishe baba yako
 
Wewe umetoa maoni ya kijinga sana. Kama huna cha kuongea si ukae kimya
Wewe ndiyo mjinga..wewe ni binadamu tu unaweza ukawa huna utashi wowote ila unadanganywa na fikra zako kwa sababu za vyama vya siasa,ukidhani wewe ndo unajua na kumbe ni mpumbavu tu.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Wewe ndiyo mjinga..wewe ni binadamu tu unaweza ukawa huna utashi wowote ila unadanganywa na fikra zako kwa sababu za vyama vya siasa,ukidhani wewe ndo unajua na kumbe ni mpumbavu tu.

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Unalifanya Bunge letu kuwa sehemu ya kutoa kauli za kuvaa almasi au shanga sijui kiuoni ili kuwafurahisha wanaume katika ngono na unaona sio ujinga? Hivi mama yako ndio angetolewa mfano huo pale bungeni bado ungeona sawa, kuwa hizo almasi ni za kumtsha yeye avae kiunoni ili amfurahishe baba yako, ungeona sawa tu? Watu mnakosa akili hata zile ambazo ni za kawaida kwa sababu tu za ushabiki.
 
Mkuu kubali tu kwamba umeongea pumba sana!
 
Unalifanya Bunge letu kuwa sehemu ya kutoa kauli za kuvaa almasi au shanga sijui kiuoni ili kuwafurahisha wanaume katika ngono na unaona sio ujinga? Hivi mama yako ndio angetolewa mfano huo pale bungeni bado ungeona sawa, kuwa hizo almasi ni za kumtsha yeye avae kiunoni ili amfurahishe baba yako, ungeona sawa tu? Watu mnakosa akili hata zile ambazo ni za kawaida kwa sababu tu za ushabiki.
Halafu spika naye anacheka ujinga eeeh? Hivi kwa nini hakumkemea huyo ghabacholi? Asifikri hayo madaraka atakuwa nayo milele! Nyoko sana mh. Supika!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom