mh leo alikua na mkutano na wanakijiji wa kijiji cha mbuguni,kafanya maamuzi magumu kwa kuwarudishia wanakijiji soko lao ambalo lilikua limetaifishwa na wajinga wachache akiwemo diwani na katibu tarafa.wananchi wameimba sana wanataka soko lao wakiongozwa na mh mbunge.
Diwani wa Mbuguni ni yule anajiita askofu mwenye Palson Hotel...diwani wa mbuguni ndiye yule aliyedakwa na takukuru kwa rushwa ya uteuzi wa siyoi?
Nasari akaze buti kuna kero nyingi sana kwenye jimbo lake....hili soko lilikua linatumiwa na wanakijiji kwa shunguli ndogondogo,uöngozi wa kijiji wakalibadlisha soko kua standi ya mabasi na wakahamisha lile soko km 5 kutoka kijijini hvyo ikawawia vigum kwa wafanya biashara wadogo kwenda kupeleka bdha kwa sababu ya umbali hvyo wamama wengi wakajikuta wanashndwa kusomesha watoto kwa sababu hata wakipeleka bdha soko jipya wateja walikua hawaendi.nadhani nmeeleweka
Diwani wa Mbuguni ni yule anajiita askofu mwenye Palson Hotel...
Ndiyo yeye akawa upinzani TRA wakahamia nyumbani kwake kila siku wana pekua docs zake akaona isiwe tabu narudi CCM...kutoka madin hadi soko.
Nadhani ndiye aliyevuma miaka ile ya 90 kakikati kwa kumwaga hela chini.
Ndiyo yeye akawa upinzani TRA wakahamia nyumbani kwake kila siku wana pekua docs zake akaona isiwe tabu narudi CCM...