Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,060
- 309
Hizi ni practice ambazo wanasiasa wa hovyo kutoka CCM wamezitumia na kujipatia madaraka na kisha kuendelea nayo kwa kipindi kirefu sana bila kuongeza tija yoyote katika maisha yetu.
Tunachotegemea kutoka kwa viongozi wetu ni kuweka mazingira ambayo wananchi tutakuwa na uwezo wa kujiletea maendeleo yetu binafsi, kutimiza wajibu wetu wa kitaifa na serikali kutimiza wajibu wake wa msingi.
Hata kama yuko upinzani, bado anatakiwa kuongeza ufanisi wake, Muda unaenda na sijamuona akiufikia uwezo wa Zitto Kabwe, John Mnyika na Tundu kwa namna yoyote ile.
Kama ataendelea hivi, huu ni wakati mwafaka aanze kufikiria kutokugombea tena, anaweza kufanya vizuri zaidi kwenye law practice.

Na mnyika naye aige siyo kuandamana...