Mh. Nassari ashirikiana na wapiga kura wake kuchimba mitaro ya maji jimboni kwake

Medical Dictionary

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,057
309
Katika jitihada za mbunge wa arumeru mashariki kutekeleza ahadi zake jana saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni alishirikiana na wananchi wa kijiji cha maroroni kuchimba mitaro ya kuweka roller kwaajili ya usambazaji wa maji katika kijiji cha maroroni...
Pamoja na kushiriki huko pia alitoa roller hizo za maji kwa kijiji...
My take:wabunge kushiriki katika shughuli za maendelea kwa kushirikiana na wapiga kura wao kunajenga umoja na ushirikiana baina ya viongozi na wanachi na kuna ondoa matabaka kati yao...huu ni mfano wakuigwa wabunge wengine pia wanapaswa kuiga...
Source:facebook page ya nassari..
Picha:copy link ifuatayo
mtandao-net.blogspot.com/2013/06/mh-nassar-ashirikiana-na-wapiga-kura.html?m=1
 
Jembe langu nasari unapiga kazi,hawakukosea kukuleta mjengon ila usimsahau sioi kwan walimlazimisha tu kugombea,haikuwa nia yake.piga kazi kamanda.
 
Sio wabunge kama Dewji kule Singida anawanunulia wananchi mabati,cherehani na msaada wa sukari. Tabia hiyo haijengi watu kujitegemea ila wanaishi kwa kutegemea misaada pekee. Heko Nassari kuwaonyesha watu kuwa wajishughulishe wao wenyewe.
 
Gud dogo janja,ni Lini Sioi Sumari angekuja kufanya hivyo?au the late Sumari?we need people ambao wanakuwa within wavuja jasho,na inakuwa rahisi sana kupata hata habari za kusaidia,lakini ukijiweka juu kama MUNGU mtu sioni ni lini itawezekana anyway RITZ,should take that
 
Sioi sijamuona hapa tangu alipoondoka baada ya uchaguzi, hizo roller lazima wazifukue waziibe maana niwajuavyo viongozi wa hicho kijiji ni vibaka zaidi ya wananchi....kwani ni mara ngapi wazungu wamejitolea mabomba viongozi wanauza ??
 
Safi sana kamanda,tusubiri buku 7 au watoto wa "mandevu" waje
 
Hizi ni practice ambazo wanasiasa wa hovyo kutoka CCM wamezitumia na kujipatia madaraka na kisha kuendelea nayo kwa kipindi kirefu sana bila kuongeza tija yoyote katika maisha yetu.

Tunachotegemea kutoka kwa viongozi wetu ni kuweka mazingira ambayo wananchi tutakuwa na uwezo wa kujiletea maendeleo yetu binafsi, kutimiza wajibu wetu wa kitaifa na serikali kutimiza wajibu wake wa msingi.

Hata kama yuko upinzani, bado anatakiwa kuongeza ufanisi wake, Muda unaenda na sijamuona akiufikia uwezo wa Zitto Kabwe, John Mnyika na Tundu kwa namna yoyote ile.

Kama ataendelea hivi, huu ni wakati mwafaka aanze kufikiria kutokugombea tena, anaweza kufanya vizuri zaidi kwenye law practice.
 
Jiulize mnyika, lissu na zitto na wanasiasa wapo kwenye siasa kwa kipindi gani na nassari anamuda gani kwenye siasa... We waweza pewa mtihan na mtoto wa darasa la kwanza ukamoita marks na ukujisifia mbele za watu kwa upeo wako ninavyouona... Nassari bado ni mchanga sana lakin level aliyopo ni sawa na ya mwanasiasa mkongwe wa ccm... Mpe muda kidogo uone.
 
Hizi ni practice ambazo wanasiasa wa hovyo kutoka CCM wamezitumia na kujipatia madaraka na kisha kuendelea nayo kwa kipindi kirefu sana bila kuongeza tija yoyote katika maisha yetu.

Tunachotegemea kutoka kwa viongozi wetu ni kuweka mazingira ambayo wananchi tutakuwa na uwezo wa kujiletea maendeleo yetu binafsi, kutimiza wajibu wetu wa kitaifa na serikali kutimiza wajibu wake wa msingi.

Hata kama yuko upinzani, bado anatakiwa kuongeza ufanisi wake, Muda unaenda na sijamuona akiufikia uwezo wa Zitto Kabwe, John Mnyika na Tundu kwa namna yoyote ile.

Kama ataendelea hivi, huu ni wakati mwafaka aanze kufikiria kutokugombea tena, anaweza kufanya vizuri zaidi kwenye law practice.

mkuu wanasiasa wanatofautiana,usitegemee wabunge wote wa chadema wafanane,kila mmoja ananamna anavyoendesha siasa zake lakini wote wapo katika lengo moja lakuwatetea nakuwawakilisha wananchi
kumbuka nassari anamzigo mkubwa sana sababu anatakiwa atekeleze ahadi ndani ya muda mfupi kulinganisha na wabunge wengine,ndio maana huwa akiongea bungeni anakuwa focused zaidi katika kero za wapiga kura wa jimboni kwake tofauti na kina zitto,mnyika na lissu ambao naweza kusema ni wabunge wa taifa(ni vizuri pia)
tumpe muda nassari anamuda mfupi kutekeleza aliyoya-ahidi tofauti na wabunge wengine wote...
Sisi wapiga kura wake ndio tunaofaham juhudi zake na uwezo wake ndio maana tulimuamini na tunazidi kumuamini
heko nassari
 
Na mnyika naye aige siyo kuandamana...

mnyika anafanya mengi kwa jimbo lake mbali na kuandamana, wote wanafanya mambo mazuri kila mtu kwa namna yake. sasa tuulize hawa wa ccm ambao wana majimbo mengi wangapi wamefanya nini katika majimbo yao?
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom