Medical Dictionary
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 1,057
- 309
Katika jitihada za mbunge wa arumeru mashariki kutekeleza ahadi zake jana saa 3 asubuhi hadi saa 10 jioni alishirikiana na wananchi wa kijiji cha maroroni kuchimba mitaro ya kuweka roller kwaajili ya usambazaji wa maji katika kijiji cha maroroni...
Pamoja na kushiriki huko pia alitoa roller hizo za maji kwa kijiji...
My take:wabunge kushiriki katika shughuli za maendelea kwa kushirikiana na wapiga kura wao kunajenga umoja na ushirikiana baina ya viongozi na wanachi na kuna ondoa matabaka kati yao...huu ni mfano wakuigwa wabunge wengine pia wanapaswa kuiga...
Source:facebook page ya nassari..
Picha:copy link ifuatayo
mtandao-net.blogspot.com/2013/06/mh-nassar-ashirikiana-na-wapiga-kura.html?m=1