Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
udsm kile chuo kimeliharibu hili taifa sana product nyingi za pale ni matatizo
mia mia mkuu udsm imefanya taifa liwe dhaifu kama ilivyo ccmudsm kile chuo kimeliharibu hili taifa sana product nyingi za pale ni matatizo
Waalimu wa UDSM wanahusika vipi?
acha porojo zako walimu wa UDSM hawako pale kufundisha siasa
labda kwa wale wa political science
nchi hii imejengwa na wengi waliopitia pale
Waalimu wa UDSM wanahusika vipi?