Mh. Mnyika ndani ya zambia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh. Mnyika ndani ya zambia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kiby, Sep 18, 2011.

1. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#1
Sep 18, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,190
Likes Received: 996
Trophy Points: 280
Katika pilika pilika zangu hapa nchini zambia nimepishana na mtu kama mnyika. Naomba wenye taarifa nae kama ni yeye kweli yupo hapa watupe contact zake ili tuwe na masiliano nae. Ni mbunge wangu jimbo la Ubungo, hivyo kupata nafasi ya kula nae kifungua kinywa, lunch au dinner hapa ugenini ni fahari kubwa. P/se, p/se!!

2. maulaga

maulaga JF-Expert Member

#2
Sep 18, 2011
Joined: Feb 22, 2009
Messages: 472
Likes Received: 2
Trophy Points: 0
Bahati nzuri Mnyika ni member humu, bila shaka atauona ujumbe wako.

3. nngu007

nngu007 JF-Expert Member

#3
Sep 18, 2011
Joined: Aug 2, 2010
Messages: 15,871
Likes Received: 56
Trophy Points: 145
I wish now there is no MOD's on JUKWAA LA SIASA... Hii Habari imepita ni Ombi na Sio habari za Siasa... Habari zangu za Siasa hazipiti kabisaa

Mimi ni Mwanachama ninayefuata Masharti yote ya Jamii Forum na nachangia lakini habari zangu zinatupwa; Ni bora niambiwe sababu nitaacha kuweka habari zangu ndani ya JUKWAA LA SIASA

IS THERE A FREE DEMOCRACY IN HERE ?? IF THERE IS A PICK AND CHOOSE NO DEMOCRACY...

4. Mumwi

Mumwi JF-Expert Member

#4
Sep 18, 2011
Joined: Jan 9, 2011
Messages: 592
Likes Received: 1
Trophy Points: 0
Kwa sasa hivi nadhani mod anasoma kwanza ndiyo anatoa hivo anachagua habari za kutoa

5. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#5
Sep 18, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,190
Likes Received: 996
Trophy Points: 280

Hapa kwenye trea yangu sii mahali sahihi pa kutulea malalamiko yako. Kwa nini usitumie PM?
Hata hivyo ungeweza kuwa sahihi baada ya kutoa contact za Mnyika kwanza.

6. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#6
Sep 18, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,190
Likes Received: 996
Trophy Points: 280

Namsubiria kwa hamu Mh mbunge wangu, maana najua kwa vyovyote vile atapita humu jamvini.

7. j

janja pwani Senior Member

#7
Sep 18, 2011
Joined: Jul 27, 2011
Messages: 104
Likes Received: 0
Trophy Points: 0
upuuuuuuuuuziiiĆ­iiiiiiiii mtuuuuuuuuupuuuuu huenda hata baba yako au mama hujawanunulia dinner au lunch hata siku moja.

8. mikatabafeki

mikatabafeki JF-Expert Member

#8
Sep 18, 2011
Joined: Dec 29, 2010
Messages: 12,837
Likes Received: 2,101
Trophy Points: 280
umejuaje.................mwenzio kaleta siredi ka huna cha kuchangia funga bakuli lako

9. Atubela

Atubela JF-Expert Member

#9
Sep 18, 2011
Joined: Aug 15, 2011
Messages: 637
Likes Received: 549
Trophy Points: 180
Sure! kama yeye haimuhusu sio lazima kukoment, watu wengine vipi?

10. u

ureni JF-Expert Member

#10
Sep 19, 2011
Joined: Jun 14, 2011
Messages: 1,272
Likes Received: 230
Trophy Points: 160
Mkuu mbona umezunguka sana hapo umesema umepishana nae si ungemstua umwulize badala ya kumwacha apite halafu kuingia JF kuomba msaada haisaidii sana.

11. M

MIGNON JF-Expert Member

#11
Sep 19, 2011
Joined: Nov 23, 2009
Messages: 2,586
Likes Received: 1,562
Trophy Points: 280
Usipate taabu!!!!!!!!!
Ni kweli Mnyika yupo Zambia kwa mwaliko wa umoja wa mabunge ya umoja wa madola.Anatarajiwa kurudi nyumbani 27/09.
Angalia Facebook John Mnyika-Group.

12. Kiby

Kiby JF-Expert Member

#12
Sep 19, 2011
Joined: Nov 16, 2009
Messages: 5,190
Likes Received: 996
Trophy Points: 280

Thanks mkuu

Loading...