lendila
JF-Expert Member
- Sep 26, 2012
- 5,806
- 4,370
Mh.Mkuu wa mkoa wananchi wa Mwenge wanakupenda sana, Mh. mkuu wa mkoa wananchi wa Mwenge wanaupendo mkubwa sana na wewe wananchi wa Mwenge hawana tatizo lolote na ww mheshimiwa, embu sema neno moja tu na parking ya magari irudi kama mwanzo ilivyokuwa kabla ya kukataza magari yasipark eneo la mtaa wa Mwenge sokoni mh wetu mkuu wa mkoa wa Dar es salam.
Tunakuomba tunakuomba Mh tengua kauli yako Mh mkuu wa mkoa wetu
Ni matumaini yetu maombi yetu wakazi wa Mwenge nzansa yatapokelewa na yatafanyiwa kazi.
Tunakutakia kila la heri,na kazi njema
Tunakuomba tunakuomba Mh tengua kauli yako Mh mkuu wa mkoa wetu
Ni matumaini yetu maombi yetu wakazi wa Mwenge nzansa yatapokelewa na yatafanyiwa kazi.
Tunakutakia kila la heri,na kazi njema