wec mwanahapa sijui unachotetea ni nini?naombeni sana watanzania na hasa wanaoitakia tanzania mema!hakuna wakati mgumu unaoiface hii nchi kama kipindi hiki cha kuandika katiba mpya!hili suala si la kiushabiki kama mnavyochukulia, hili suala si la itikadi za vyama, hili suala si la mtu mmoja au kundi la wahuni fulani, hili suala ni moyo chi unatengenezwa!iwaapo moyo huu utakuwa na makengeza tutapotea wote, nadhani niishukuru sana kambi ya upinzani kwa kutoa yale yote gizani na kuyaweka mwangani!madhambi mengi, ukiukwaji mkubwa wa sheria na taratibu, nguvu za speaker kuitawala hii process, ushiriki wa zanzibar na upya wa mswada wenyewe unatosha kutujulisha kuwa huu mswada si mwema kwa watanzania, ni HARAKA gani tuliyonayo kukimbiza mambo hivi?ni kigugumizi gani walichonacho na hofu wanayoipata juu ya hili jambo? narudi mwanzo na kukubali kuwa ni kweli serikali hawana nia njema ya kuandika katiba mpya kwa content bali kwa mwonekano wa nje tu na haya yalidhiirishiwa na AG bwana Werema na wa ubavu wake Kombani waliodiriki kuwasemea watanzania milioni 40 kuwa watanzania hawaitaji katiba!
.
Mwanahapa ACHA USHABIKI WA KIPUUZI, HUU NI WAKATI WA KUUNGANA,ALICHOKIFANYA MACHALI NI KITENDO CHA AJABU, KUTOKA NJE KWA CHADEMA NA 50% YA NCCR MAGEUZI NI KUONESHA KUWA HAWAKUBALIANI NA MUSWADA ULIOLETWA BUNGENI YEYE KUBAIKI MEANS ANAKUBALIANA NA HAYO?TUNAMLINK NA MENGI TOKEA HAPA JUZI KATI MANENO MENGI YANAPITA JUU YA MSIMAMO WAKE WA SIKU HIZI!TUNAJUA NYOTE MLIKUWA SAUT SAWA LAKINI UKWELI TUUONGELEE!YEYE BADO KIJANA NA WENGI WANATEGEMEA MENGI TOKA KWAKE ILA MSIMAMO WAKE UNAANZA KUTIA MASHAKA.