nyie amjui umuhimu wa africa mashariki bora mnyamaza. waulizen wafanyabiashara walioko kwenye mikoa inayopakana pia waulizen wanafunzi mtajua faida zake.
Mh Membe,
Mimi kama mtanzania natoa hoja naomba serekali yangu inisikie, tafadhali tunaomba serekali yaTZ ijiondoe kwenye muunguno wa EAC hatuwezi kuendelea huu umoja wakati tayari washirika wameshaunda umoja wao.. inamaana shauri lolote lile TZ ikipeleka kwenye huu umoja halitapita maana wengine wameshaamua..ECOWAS tuliweza.
toa tanganyika..wacah
kutusemea sisi wzanzibari... hatuwapendi vichogo kamanini.. wacha kusema
kwa behalf zetu... toa tanganyika yako sio tanzania
yaani wewe umezaliwa tanganyika na zanzibar... wacha kukataa kwenu kichogo wewe......toka kule tanganyikazzzzzzzzzzzzzzzzzzzzmimi sijazaliwa tanganyika wala sijazaliwa zanzibar,...nimezaliwa Tanzania hivyo naongelea TZ acha fikra za kizamani
nyinyi mnachanginini katika huu muungano.. sisi zanzibar tupo na tunatoa fungula kwetunyinyi mkowapi.. au tumeungana na tanzania?.. think...........mkataa kwao mtumwa leteni cha kwenu tuone than tujue kipi cha kwetu pamoja..wavivu wa hata kufikiti tanganyikazzzzzz.. jina wenye wake limekaa kimsitu msitu ivi.... huyo bwana mdogo kagame akija kuwachapa mara hii hatuwaombei kama kwa amini kule.. mida hizi tunakuja kama kuwasupport mkigeuka tuu tunanapiga vichogo wa tanganyika wenye wao ili tujilipizie miaka karibu hamsini mlo tu pull back.... dahhhhhhhhh waoga wa kuishi kwa kutumia true identity zao= tanganyika... isi zenj ya baar.. tumepoa na kila kitu chetu.....yaani ninajua itakugusa but ukweli unauma huh....... yeah nyikazzzz......msitu msitu yaani si utani kweli kweli sio...Unafikiri sie tuna muda na watu wavivu kama nyie?Kwanza mnatupa faida gani ktk huu muungano zaidi ya kutunyonya tu!Hata mkitaka kuondoka leo..kwaherini wanyonyaji na wabaguzi wakubwa nyie.
wazanzibari hatujui hata maana hayo majina ulotaja hapo juu... wewe mnyika umefanana na msitu msitu ivi.. pisha kule..Wewe kama si Mungiki au Konyi basi utakuwa M23. Tanganyika au Zanzibar hatubabaishi lugha yetu. Subiri na nyie kiwake kuhusu visiwa vya MIGINGO
Hapo mkuu umemaliza kila kitu, nakupongeza sana kwa uchambuzi wako - ni matumaini yangu kwamba Serikali yetu inalitambua sana hilo na itakuwa imejipanga jinsi yakuji-conduct ku-counter mbinu zao kama kuna ulazima, binafsi naona kama jamaa hawa wanajaribu kuipiga vita kisaikolojia TANZANIA wakiwa na mawazo kwamba wakionyesha dalili za kututenga basi na sisi tutakimbilia kukubaliana nao kwa kila kitu hata vile vyenye walakini MKUBWA - culprit mkubwa hapa ni Kenya, wana mawazo ya ajabu sana kuhusu umuhimu wao katika Eastern Africa i.e watafanya lolote katika kutaka kutekeleza malengo yao kuitawala Region nzima kiuchumi - hii ndio long term plan yao, wanaona TANZANIA ni kikwazo kikubwa katika mbinu zao.ile statement ya kumtaja Kikwete imekaa kichochezi sana pia. Kuna chumvi sana kwenye ile statement kiasi kwamba hata mimi ningekuwa kikwete ningenyamaza. Kikwete ana madhaifu mengi sana kama Kiongozi mkuu wa nchi, lakini hili la Rwanda binafsi nampongeza handling yake. It is the one thing amefanya sawa katika machache sana ambayo kafanya sawa. Kwa hiyo nakuunga mkono. jengine ambalo ningependa kuongezea hapo ni hili. kwamba Paul Kagame hatabaki kuwa rais wa Rwanda milele. yapo mazuri kaifanyia nchi yake, lakini binafsi namwona kavimbishwa kichwa sana na sifa anajihesabu ni kijimungu mtu. Rwanda itapata kiongozi mwingine eventually na matumaini ya Kenyata kucontrol Rwanda kwa mikataba yake na Kagame inaweza kuwa mashakani in the long run. Strategically, ishu kubwa hapa wala si Rwanda. Ishu kubwa hapa ni Uganda! That is what we need to be thinking about the most.Uganda anawaza nini? Can Uganda be in the same pot with Kenya? for what and for how long? hii ndo hasa issue ya kuiwazia sana. Kenya anatafuta regional relevance kupitia Uganda na South Sudan. South Sudan ipo mbali sana nasi, kwa hiyo issue hasa ni Uganda. Hii takataka inaitwa Rwanda (hili neno takataka ni la Kagame peke yake)achana nayo.... Uganda ndiyo issue hapa.