mh,jaman hebu 2we 2naongea maneno yenye uhakika,2cropoke tu km hatujaenda shule! Huyo anaesema shabby co mtanzania anauhakika? Au mmetumwa kuja kuchafua tu sifa za watu! Ongeeni kwa data na co kutoa chuki zenu binafsi..hayo mabas inamaana yanapitia angani au? Hebu achen unafki bwana...baba wa watu hajui hata mmoja huku,mnatafta ustar kwa ku2mia majina ya wakubwa!