Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa udizungwa hapa Iringa mjini mara akaingia mh.msingwa na viongozi wengine wa chedema wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh.Mbowe baada ya kuingia Mh. mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh.mbowe nimefurahi sana kusalimiana na Mh.mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo Mh.mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana...Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh.msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...Mungu ibariki chedema Mungu wabariki makamanda, Mungu ibariki Tanzania.

Sasa subiri utapokutana Kinana akiwa ameambatana na Mwigulu Nchemba...nadhani utafurahi mara mia ya hapo.Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa udizungwa hapa Iringa mjini mara akaingia mh.msingwa na viongozi wengine wa chedema wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh.Mbowe baada ya kuingia Mh. mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh.mbowe nimefurahi sana kusalimiana na Mh.mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo Mh.mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana...Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh.msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...Mungu ibariki chedema Mungu wabariki makamanda, Mungu ibariki Tanzania.
Na kweli!usinawe mikono leo!
Haha ha ha haaaaaaa.... Uuuuuuuuwwiiiusinawe mikono leo!
kwa kwa kwa kwaaaaa.. Uuuuuuuuwwiiiii... Yele uuuwiiiii... Teh teh tehteh...Sasa subiri utapokutana Kinana akiwa ameambatana na Mwigulu Nchemba...nadhani utafurahi mara mia ya hapo.
mimi juzi nilikuwa pale new africa hotel siku ile alipokuja obama kiongozi wa ngazi za juu katika magamba anataka kunipa mkono nikakataa kwa angeniharibia siku.