Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

Mh.Mbowe popote ulipo nasema Asante

Aggrey86

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2011
Posts
853
Reaction score
155
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa Udizungwa hapa Iringa Mjini mara akaingia mh. Msingwa na viongozi wengine wa CHADEMA wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh. Mbowe.

Baada ya kuingia Mh. Mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh. Mbowe, nimefurahi sana kusalimiana na Mh.Mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo.

Mh. Mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana.

Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh. Msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa udizungwa hapa Iringa mjini mara akaingia mh.msingwa na viongozi wengine wa chedema wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh.Mbowe baada ya kuingia Mh. mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh.mbowe nimefurahi sana kusalimiana na Mh.mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo Mh.mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana...Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh.msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...Mungu ibariki chedema Mungu wabariki makamanda, Mungu ibariki Tanzania.

nice excitement, u culnd't hold it within! congrats. hopeful your now inspired
 
jinsi ulivyoshukuru, nikakumbuka ile post ya ajali ya PM, watu walivyokuwa wanatoa maneno yao ua chuki, ila huku nategemea maneno yenye baraka kwa PM mtarajiwa wa 2015.
 
CHADEMA inapendwa sana, makamanda wake ndio usiseme, hii ndio nguvu ya umma...
 
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa udizungwa hapa Iringa mjini mara akaingia mh.msingwa na viongozi wengine wa chedema wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh.Mbowe baada ya kuingia Mh. mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh.mbowe nimefurahi sana kusalimiana na Mh.mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo Mh.mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana...Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh.msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...Mungu ibariki chedema Mungu wabariki makamanda, Mungu ibariki Tanzania.

Inspirational

Happy are those who dream dreams and are ready to pay the price to make them come true.
Leon J. Suenes
 
Nikiwa namalizia kupata chai yangu asubuhi hii kwenye mgahawa moja unaitwa udizungwa hapa Iringa mjini mara akaingia mh.msingwa na viongozi wengine wa chedema wakiwa pamoja na kamanda wa anga Mh.Mbowe baada ya kuingia Mh. mbowe akasalimiana na watu wengine tuliokuwepo mule ndani na moja kwa moja wakaja kukaa na karibu na meza niliyokuwa nimekaa na nikapata bahati ya kutoa mkono wangu na kusalimiana na Mh.mbowe nimefurahi sana kusalimiana na Mh.mbowe nimejiona ni mwenye bahati sana leo Mh.mbowe popote ulipo ujue yule kijana aliyesimama pale wakati unapata supu yako akakupa mkono akakuambia shikamoo amefurahi sana tena sana...Asante Mh.Mbowe Mungu akubariki sana leo nimefurahi sana ni siku nzuri sana kwangu...Mh.msigwa na viongozi wenzako nawatakieni kheri sana endeleeni kutetea wanyonge na sisi tupo kwa ajili yenu kwa maombi na dua zetu...Mungu ibariki chedema Mungu wabariki makamanda, Mungu ibariki Tanzania.
Sasa subiri utapokutana Kinana akiwa ameambatana na Mwigulu Nchemba...nadhani utafurahi mara mia ya hapo.
 
Wangeingia hao wajomba ningesimama na kuondoka zangu mana ningejua laana tayari imeshaingia mule ndani...
 
dah!hngera sana kamanda,umekuwa na siku ya bahati sana leo.
 
Sasa subiri utapokutana Kinana akiwa ameambatana na Mwigulu Nchemba...nadhani utafurahi mara mia ya hapo.
kwa kwa kwa kwaaaaa.. Uuuuuuuuwwiiiii... Yele uuuwiiiii... Teh teh tehteh...
 
mimi juzi nilikuwa pale new africa hotel siku ile alipokuja obama kiongozi wa ngazi za juu katika magamba anataka kunipa mkono nikakataa kwa angeniharibia siku.

safi sana , hawachelewi kukupaka sumu hao .
 
Leo umekutana na ukombozi , hii ni ishara ya kushinda chochote utakachogombea , chukua fomu , si kuna gamba moja limekufa hapo lilikuwa diwani !
 
Dah! mtu anaona ni bora kukutana na Mbowe kuliko hata Prezidaa kweli magamba mmechokwa.
 
Hongera Kamanda. Kwa jinsi ulivyofunguka na kufurahi, hakika furaha yako haitaishia hapo. Umefungua ukurasa mpya katika maisha yako ya kisiasa. Sasa chukua hatua. Fanyia kazi tukio la leo. Nakuhakikishia mwaka kesho majira kama haya utakuwa kiongozi katika jamii yako ili uwape furaha kama wewe ulivyopata furaha leo. God bless you!!!!!!! Mungu ameipokea furaha yako.
 
Back
Top Bottom