jamaa sikujua yuko serious hivi aisee hata masha akimwona leo anaogopa aisee safi sana mpwa wangu wenje
safisha nyota bana ila urudi sasa amjatuambia huko mnakula ile ile 200,000 ama ??napita tu
mbona hizi picha hazitoi udhibitisho kuwa hapo ni USA? na kama alikwenda USA, aliyepost atuambie mbowe alikuwa anafanya nini chenye maslahi kujadili humu, vinginevyo tunaweza kuishia kujadili safari binafsi za mtu.
Baadaye leo anakutana na vijana wa Kitanzania walioko maeneo haya ya Washington D.C. Virginia na Maryland. Hata mimi yakhe nitajikongoja niende kuona yanayojiri na jioni nitawaleteeni taarifa.
MKUTANO WA WATANZANIA LEO JUMAMOSI TAREHE 4,WASHINGTON DC. MUDA SAA NANE MCHANA,"NCHI KWANZA ".UJE KUTOA MAWAZO ILI KUMPONYA MAMA TANZANIA.[MGENI WETU NI MWENYEKITI WA CHADEMA MH MBOWE. Maelezo zaidi 240 401 0316
Msiniulize kama chakula kina pottasium cynide ama lah..tusubiri yawafike.....mwakyembe aliunga unga vijisafari hivi hivi alipofilia kumomonyoka mpaka leo akumbuki alikula wapi
hii nchi hii
Ngoja wakamchakachue,si unamuona Kikwete,kushne.Mnawachezea Wamarekani, washenzi kweli.Ukifanya urafiki nao,kama you are of interest to them, lazima mwishowe wakumalize.Washenzi hawa, hawana urafiki.